MUHIMBILI, DODOMA RRH WAPO JKCC KUTOA HUDUMA KWA WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CCM TAIFA

Mfamasia wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Solobi Ngasa akiwa tayari kutoa huduma kwa wajumbe wa Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) jijini Dodoma leo.

Wataalamu wa afya wa Dodoma RRH wakiwa tayari kutoa huduma kwa wajumbe wa Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) jijini Dodoma.

Watalaam kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kushirikiana na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto na Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma wapo katika Viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC) unapofanyika Mkutano Mkuu wa CCM Taifa ili kutoa huduma mbalimbali kwa wajumbe wa mkutano huo.


Na John Stephen

Wataalamu wa afya wakiwa tayari kutoa huduma kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi jijini Dodoma leo