Muhimbili yapokea msaada wa Vifaa tiba

Rais wa Chama cha Magonjwa ya Kike (AGOTA), Dkt. Matilda Ngarina (kulia) akipokea msaada wa vifaa tiba kutoka kwa Mkurugenzi Mkazi wa Pathfinder International Tanzania, Dkt. Joseph Komwihangiro. Msaada huo umekabidhiwa kwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa ajili ya wataalamu wa afya wa MNH na kwamba vitawasaidia kujikinga na magonjwa ya kuambukiza.


Na John Stephen

Msaada wa vifaa tiba.