Mafunzo ya huduma bora kwa wateja yaendelea kwa watumishi wa majengo ya Kibasila na Sewa Haji
Mtoa mada Sophia Sanga akizungumza wakati wa mafunzo ya huduma bora kwa wateja.
Mtoa mada Martha Edward akizungumza wakati wa mafunzo ya huduma bora kwa wateja.
Watumishi wakifuatilia mafunzo
Watumishi wakifuatilia mafunzo
Watumishi wakifuatilia mafunzo
Watumishi wakifuatilia mafunzo
Na Sophia Mtakasimba
Mafunzo ya huduma bora kwa wateja yameendelea kutolewa ambapo leo ilikuwa ni zamu ya watumishi wote wa majengo ya Kibasila na Sewa Haji.