Habari katika Picha mbalimbali Baraza la Wafanyakazi

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Lawrence Museru ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi wa Muhimbili Upanga & Mloganzila akiwa katika picha ya pamoja na wakurugenzi wa MNH.

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Lawrence Museru akiwa katika picha ya pamoja na wakurugenzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Upanga & Mloganzila.

Wakuu wa Idara wakiwa katika picha ya pamoja na Prof. Lawrence Museru.

Wakuu wa Idara ya Muhimbili Upanga & Mloganzila wakiwa katika picha ya pamoja na Prof. Lawrence Museru ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi.

Baadhi ya viongozi wa TUGHE wakiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi.

Baadhi ya viongozi wa TUGHE wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Baraza la Wafanyakazi Muhimbili Upanga & Mloganzila.

Wawakilishi wa chama cha madaktari wakiwa katika picha pamoja viongozi wa Baraza la Wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).

Wawakilishi wa chama cha madaktari wa Muhimbili Upanga & Mloganzila wakiwa katika picha pamoja viongozi wa Baraza la Wafanyakazi wa hospitali hiyo.


Na Dorcas David

Baadhi ya viongozi na wawakilishi wa TUGHE na kutoka Chama Cha Madaktari nchini wakiwa picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Lawrence Museru ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi wa Muhimbili Upanga & Mloganzila.