Muhimbili yapokea msaada wa vifaa tiba

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imepokea msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya TZS 3 milioni kwa ajili ya kuimarisha huduma za afya katika hospitali hiyo. Msaada huo umetolewa na Global Health Alliance Western Australia (GHAWA) baada ya kutoa m ...

Jamii yatakiwa kupiga mswaki mara mbili kwa siku

Jamii yashauriwa kupiga mswaki kwa ufanisi-mara mbili kwa siku ili kujikinga na maradhi ya kinywa na meno.

Wananchi wametakiwa kupiga mswaki mara mbili kwa siku asubuhi kabla ya kifungua kinywa asubuhi na jioni baada ya chakula kabla ya kulala.

...

Dkt. Gwajima awataka wananchi kuzingatia taratibu wakati wa kuchukua miili ya marehemu

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imewataka wananchi kufuata mifumo na taratibu za kuchukua miili ya marehemu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ili kuondokana na malalamiko kwamba hospitali imek ...

Teknolojia mpya kuwanufaisha wagonjwa wa afya ya akili Muhimbili

Matumizi ya teknolojia katika utoaji wa huduma za afya katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) yameongezeka, huku teknolojia hiyo ikiwawezesha wataalamu wa saikolojia kufanya tafiti na kutoa tiba ya magonjwa ya afya ya akili.

Tanzania, Chile na Ko ...

Jamii yatakiwa kupima macho kuzuia upofu, uoni hafifu

Jamii imetakiwa kujenga mazoea ya kupima afya ili kuzuia magonjwa ya macho kama vile, shinikizo la jicho, uono hafifu na wakati mwingine upofu.

Wataalamu wa afya wameshauri jamii kupima macho kwa sababu watu wengi wana matatizo makubwa ya macho kuto ...

Prof. Museru awataka wadau kuwekeza katika tafiti kukabiliana na Covid-19 nchini

Wadau wa afya nchini wametakiwa kuwekeza katika tafiti za kisayansi ili kukabiliana na ugonjwa wa Covid-19 sambamba na kubadilisha mtazamo wa kupambana na ugonjwa huo.

Mkurugenzi Mtendaji wa ...

Wananchi washauriwa kukabiliana na ugonjwa wa shinikizo la damu

Wananchi wameshauriwa kubadili mtindo wa maisha ili kukabiliana na ugonjwa wa shinikizo la damu ambao unawakabili watu wazima wenye umri kuanzia miaka 40.

Hayo yamesemwa na Dkt Gerald Kalinga wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wakati akitoa ushauri kwa ...

Wananchi kunufaika na huduma za Afya Sabasaba

Wataalamu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Upanga na Mloganzila wameendela kutoa elimu na huduma kwa wanachi katika maonesho ya 45 ya biashara ya kimataifa yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya sabasaba.      

Baadhi ya hudum ...

Wananchi washauriwa kutokata kidakatonge

Wananchi wameshauriwa kuacha tabia ya kukata kimeo (kidaka tonge) kwa kuwa kunaweza kusababisha kutokwa na damu nyingi na hatimaye kusababisha kifo kwa mhusika.

Rai hiyo imetolewa na Afisa Mu ...

Watumishi watakiwa kuzingatia matumizi ya vifaa tiba.

Watumishi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila wametakiwa kuzingatia umuhimu wa kutunza vifaa tiba ili viweze kutumika kwa muda mrefu kwakuwa gharama ya matengenezo ya vifaa hivyo ni kubwa.

Soma Zaidi