Wananchi waendelea kujitokeza kupata chanjo

Wananchi wameendelea kujitokeza Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kupata chanjo ya UVIKO 19, ambapo Mloganzila ni miongoni mwa vinavyotoa chanjo hiyo.

Makundi yanayopewa kipaumbele ni pamoja na watumishi wa sekta ya afya, watu wenye umri wa mi ...

Dkt. Magandi apata chanjo ya UVIKO 19

Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila Dkt. Julieth Magandi amejumuika na wananchi mbalimbali waliojitokeza kupata chanjo ya UVIKO-19 inayotolewa na serikali kuanzia tarehe 2/8/2021 ambapo Hospitali ya Mloganzila ni miong ...

Dkt. Boniface, Dkt. Njekela, Prof. Muganyizi wachanjwa

Mkurugenzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI) Dkt. Respicious Boniface, Mkurugenzi Mtendaji Mstaafu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt. Marina Njelekela, Mkuu wa Skuli ya Tiba Chuo Kikuu Cha Afya na Sayansi Shirikishi Mu ...

Wananchi wajitokeza kupata chanjo ya UVIKO 19 Muhimbili

Hospitali ya Taifa Muhimbili Upanga & Mloganzila leo Agosti 3, 2021 imeanza zoezi la kutoa chanjo ya UVIKO 19 kwa wananchi pamoja na watumishi wa Muhimbili ili kujihadhari na ugonjwa huo.

Chanjo ya UVIKO 19 inatolewa kwa jamii iliyopo eneo la Mu ...

Muhimbili kuboresha huduma kwa wanaoishi na VVU,yapokea msaada wa Tzs.13 milioni

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Upanga imepokea msaada wa majalada pamoja na makabati ya kuyahifadhi  yenye thamani ya TZS.13 milioni kutoka Management and Development for health (MDH) wenye lengo la kuboresha utunzaji kumbuku ...

TUGHE - Muhimbili kupata viongozi wapya.

Wanachama wa Chama cha wafanyakazi wa serikali na  sekta ya Afya (TUGHE) tawi la Hospitali ya Taifa Muhimbili-Upanga wamefanya uchaguzi wa viongozi wapya  wa tawi ambao hufanyika kila baada ya miaka mitano uliofanyika ...

Taasisi ya Kuratibu Maendeleo ya Uturuki yapanda miti Muhimbili.

Taasisi ya kuratibu Maendeleo ya Uturuki imepanda miti 100 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Upanga na Mloganzila ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya kumbukumbu ya mashuja wao zaidi ya 250 waliofariki dunia wakitetea nchi yao dhidi ya jaribio la Mapinduzi l ...

Wauguzi 382 wapatiwa mafunzo ya jinsi ya kutambua matatizo ya mgonjwa kitaalamu.

Wauuguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili- Upanga wamehitimisha  mafunzo ya siku tano kwa wauuguzi  ya jinsi ya kutambua matatizo ya mgonjwa na kupanga namna ya kumpatia matibabu kwa kitaalamu (nurse diagnosis and nursi ...

Mechi ya Kirafiki Muhimbili na TBS yafana, Timu zagawana Ushindi

Timu  ya soka ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH FC) imeibuka kidedea baada ya kuitandika mabao 3-1 timu ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS FC) katika mchezo wa kirafiki uliofanyika  katika viwanja vya  Chuo Ki ...

Mloganzila kuanzisha huduma ya upasuaji wa matundu madogo kwa kutumia video.

Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili (Upanga & Mloganzila) Prof. Lawrence Museru amesema hospitali itaendelea kuwajengea uwezo madaktari na wauguzi ili kuendana na mabadiliko ya teknolojia yanayotokea katika sekta ya afya.

Prof. Muse ...