Muhimbili tawi la Mloganzila yaadhimisha siku ya Ukimwi Duniani kwa kutoa huduma ya upimaji wa afya bure

Mamia ya wananchi leo wamejitokeza kupima afya zao katika Hospitali ya Taifa Muhimbili tawi la Mloganzila iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani ambapo hospitali hiyo imefanya zoezi la upimaji bure ...

Muhimbili yasisitiza wataalam kufanya tafiti za afya

Wataalam wa afya wameshauriwa kuendelea kufanya tafiti mbalimbali zitakazosaidia kuleta mabadiliko katika utoaji wa huduma za afya nchini.

Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar es salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospit ...

Serikali kuendelea kuboresha huduma ya afya ya mama na mtoto nchini

Serikali imedhamiria kuongeza vyumba vya upasuaji na vyumba maalum vya uangalizi wa karibu (ICU) katika hospitali za mikoa na wilaya nchini ili kupunguza vifo vya kina mama na watoto wachanga.

Kauli hiyo ya Serikali i ...

Muhimbili yahudumia wagonjwa zaidi ya 1476 Ligula

Madaktari Bingwa wa Hospitali ya Taifa Muhimbili pamoja na watalaam wengine wa afya leo wamehitimisha utoaji wa huduma za afya katika Hospitali ya Rufaa mkoa wa Mtwara -Ligula- kwa kuhudumia wagonjwa zaidi ya 1476.
Upasuaji ...

Ari ya utendaji kazi yaongezeka kwa kasi Muhimbili

Kikao cha 20 cha  Baraza la Wafanyakazi Muhimbili    

...

Upasuaji wa kuunganisha mifupa ya fuvu la uso wafanyika Muhimbili

Wataalam wabobezi wa upasuaji wa kinywa mataya na uso (Oral & maxillofacial surgeons) wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kushirikiana na wenzao wa Marekani kwa mara ya kwanza kupitia Hospitali ya umma nchini, wamefany ...

Kumi kufanyiwa upasuaji wa kuondolewa mafindofindo Ligula

Madaktari Bingwa wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kushirikiana na wataalam wa afya wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Mtwara-Ligula- leo wanawafanyia upasuaji wagonjwa 10 wenye matatizo ya mafindofindo.
Matibabu hayo ya ...

Madaktari Bingwa Muhimbili waendelea kutoa huduma Ligula

Wataalam wa afya wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kushirikiana na wataalam wa afya wa Hospitali ya Rufaa mkoa wa Mtwara, Ligula wanaendelea kutoa huduma mbalimbali za afya kwa wananchi wa mkoa huo ikiwemo huduma za kibi ...

Watalaam wa afya Muhimbili waanza kutoa huduma Hospitali ya Rufaa Mtwara

Madaktari Bingwa wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) leo wameanza kutoa huduma za afya katika Hospitali ya Rufaa mkoa wa Mtwara, Ligula ikiwa ni moja ya mkakati wa MNH wa kuwajengea uwezo wataalam wa afya wa hospitali za rufaa ...

Muhimbili kuvunja rekodi ya miaka 15, watoto 21 watibiwa

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imepata mafanikio makubwa baada ya kufanya upasuaji wa kupandikiza vifaa vya kusaidia kusikia kwa watoto 21 ndani ya miezi 17 ukilinganisha na watoto 50 waliopandikizwa vifaa hivyo miaka 15 ili ...