KOFIH kuendeleza ushiriakino na Mloganzila

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imeshukuru Serikali ya Korea kupitia Taasisi ya Korea Foundation for International Healthcare (KOFIH) ambayo inamchango mkubwa katika kuboresha utoaji wa huduma za afya ikiwemo za ubingwa wa juu.

Kaimu Naibu M ...

Mafunzo ya huduma bora kwa wateja yaendelea kwa watumishi wa majengo ya Kibasila na Sewa Haji

Mafunzo ya huduma bora kwa wateja yameendelea kutolewa ambapo leo ilikuwa ni zamu ya watumishi wote wa majengo ya Kibasila na Sewa Haji.

...

Wauguzi na wakunga watakiwa kufanya tafiti na kuongeza taaluma

Wauguzi na wakunga watakiwa kujiendeleza kitaaluma ili kuongeza maarifa zaidi na kuwa na ujuzi mpana wa kuhudumia wagonjwa.

Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi na Ukunga Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto & ...

Muhimbili kuendelea kutambua Mchango wa Madaktari

Hospitali ya Taifa Muhimbili inatambua mchango mkubwa sana unaotolewa na madaktari katika maboresho ya sekta ya afya hususani uanzishwaji wa huduma za kibingwa nchini.

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Lawrence ...

Mafunzo ya Huduma bora kwa wateja Muhimbili yaendelea kwa watumishi wa jengo la Maternity

Mafunzo  ya huduma bora kwa wateja yanayoendeshwa na Hospitali ya Taifa Muhimbili yameendelea katika siku ya tatu , ambapo leo  ilikuwa ni zamu ya watumishi wa jengo la maternity ambao ni Madaktari, wauguzi, wahudumu w ...

Watoa huduma Muhimbili waahidi kutoa huduma bora kwa wateja

Kundi la watoa huduma za Ulinzi , Usafi na Chakula katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wameahidi kutoa huduma bora kwa wananchi ili kuwafanya wananchi wanaofika hospitalini hapo kujisikia wapo mahali salama .

Soma Zaidi

Mafunzo ya huduma bora kwa wateja yazinduliwa Muhimbili

Hospitali ya Taifa Muhimbili imezindua mafunzo ya huduma kwa wateja kwa watumishi wake wa kada zote na pia kwa watoa huduma mbalimbali ndani ya hospitali hiyo lengo ikiwa ni kuhakikisha wateja wote wanaohitaji huduma wanapata huduma stahiki kwa wakati na kw ...

Huduma Afya ya Akili zaboreshwa

Hospitali ya Taifa Muhimbili imeboresha huduma za afya ya akili katika hospitali zake za Upanga na Mloganzila kwa kuongeza idadi ya Madaktari bingwa wa magonjwa na afya ya akili, wanasaikolojia tiba na watoa huduma wengine wa af ...

Wakunga Muhimbili wapigwa msasa

Chama cha wakunga Tanzania (TAMA) tawi la Hospitali ya Taifa Muhimbili kimeendesha mafunzo ya siku mbili kwa wakunga lengo ikiwa ni kuwajengea uwezo kuhusu namna ya kupunguza vifo vya wakinamama wakati wa kujifungua .

Akizungumza wakati wa mafunzo h ...

Mloganzila yashiriki huduma ya uchunguzi wa afya Parokia ya Kibamba


Wananchi wamehimizwa kujenga utamaduni wa kupima afya zao mara kwa mara ili kupata tiba kwa wakati na kujikinga na maradhi mbalimbali.


Kauli hiyo imetolewa leo jjijini Dar es salaam na Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taif ...