Serikali ya Uturuki imesema itaendelea kuisaidia Hospitali ya Taifa Muhimbili katika nyanja mbalimbali kwa kutambua umuhimu hospitali hii hapa nchini katika utoaji wa huduma za afya.
Kauli hiyo imetolewa na Balozi wa Uturuki nchini Dkt. Mehmet Gullu ...
Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imewajengea uwezo wataalamu wa mazoezi tiba namna ya kutumia vifaa vya kisasa vilivyopo hospitalini hapa kwa lengo la kuendelea kuboresha utoaji wa huduma bora kwa wagonjwa.
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imeendelea kusikiliza maoni na malalamiko ya wananchi wanaotibiwa katika hospitali hiyo. Katika Kigoda cha kusikiliza malalamiko, ndugu wa wagonjwa wamepata nafasi ya kuuliza mas ...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima amezitaka hospitali nchini kuanzisha huduma za kusikiliza maoni na malalamiko ya wananchi wanaofika kupatiwa matibabu katika hospitali hizo.
Serikali imeahidi kuendelea kushirikiana na sekta mbalimbali katika kuhakikisha kuwa inakabiliana na changamoto mbalimbali za magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo ugonjwa wa Himofilia na Selimundu.
Zaidi ya asilimia 70 ya vifo vinavyotokea nchini na duniani husababishwa na magonjwa yasiyo ambukiza ikiwemo Kisukari, Pumu,Shinikizo la juu la damu,Kifua sugu, na Uzito uliopindukia.
Hayo yamesemwa na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Ndani Hospi ...
Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila inaendelea kuimarisha huduma za matibabu kwa wananchi baada ya kupatiwa vifaa tiba vya kisasa kwa ajili ya kutoa tiba kwa wagonjwa wa dharura.
Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT) kwa kushirikiana na Chama Cha Madaktari Tanzania (MAT) wamekutana na kujadili kwa pamoja jinsi ya kuhuhisha leseni za madaktari kwa kutumia kanuni mpya ambayo inawataka wataalamu hao kuhudhur ...