Washiriki Washinda Vikombe, Fedha Maonesho ya Utumishi wa Umma Muhimbili

Washiriki Washinda Vikombe, Fedha Maonesho ya Utumishi wa Umma Muhimbili

...

Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Yafana Muhimbili

Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Yafana Muhimbili

...

Maonesho ya Utumishi wa Umma Kuanza Juni 18 Muhimbili

Hospitali ya Taifa Muhimbili  (MNH) inatarajia kufanya maonesho ya Utumishi wa Umma-siku tatu mfululizo ambayo yatafanyika ndani ya hospitali hiyo kuanzia Juni 18 hadi 20, 2018.

Maonesho hayo ambayo yatazinduliw ...

Balozi wa Ireland Asifu Muhimbili kwa Kuboresha Huduma

Balozi wa Ireland nchini Paul Sherlock leo ametembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa lengo la kuona maendeleo ya miradi mbalimbali inayofadhiliwa na Serikali ya Ireland.

Katika ziara hiyo Balozi Sherlock amea ...

30 Kufanyiwa Upasuaji wa Mtoto wa Jicho Muhimbili

Hospitali ya Taifa Mhimbili (MNH) leo tarehe 28-05-2018 imepokea msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi milioni 200 vitakavyotumika kuhudumia wagonjwa wenye matatizo ya macho.

Msaada ...

MUHIMBILI KUFUNGA MASHINE YA KUDHIBITI TAKA HATARISHI

Hospitali ya Taifa Muhimbili inatarajia kufunga mashine ya kisasa ya utasishaji taka ambayo itapunguza uchomaji wa taka za plastiki ambazo zina madhara kwa binadamu.

Mashine hiyo yenye thamani ya Dola Laki moja imetolewa na Shirika la Umoja wa Matai ...

Maria na Consolata Waruhusiwa Leo Waishukuru Muhimbili

Dar es Salaam, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) leo imewaruhusu Maria na Consolata waliokuwa wamelezwa katika hispotali hiyo kwa zaidi ya miezi miwili kutokana na afya zao kuimarika.

Pacha hao walikuwa wakipatiwa ma ...

Msajili Baraza la Uuguzi Tanzania Aanza Kazi Rasmi

Msajili wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania, Bi. Agnes Mtawa leo ameanza kazi rasmi baada ya kukabidhiwa ofisi tangu alipoteuliwa kushika nafasi hiyo mwezi uliopita. Bi. Agnes Mtawa anachukua nafasi ya Bi. Lena Mfalila aliyem ...

Taasisi ya SUKOS yakabidhi vifaa vya Zimamoto Hospitali ya Muhimbili

Taasisi ya Maafa, Majanga na Uokoaji -SUKOS, leo ameikabidhi Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) vifaa vya zimamoto ili kusaidia uokozi mara yanapotokea majanga ya moto.

Mkurugenzi wa taasisi ...

Muhimbili, MUHAS Watoa Mafunzo ya Awali kwa Watoa Huduma wa Magonjwa ya Dharura

Wataalamu Bingwa wa Huduma ya Tiba ya Dharura na Ajali wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Chuo Kikuu cha Sayansi ya Afya na Tiba Shirikishi(MUHAS)kwa kushirikian na Chama cha Wataalamu wa Magonjwa ya Dharura na Ajali Tanzania (EMAT) wameendesha mafunzo ...