Australia Tanzania Society Yafadhili Madaktari Muhimbili

Shirika Lisilo la Kiserikali Australia Tanzania (ATS) limetoa ufadhili kwa madaktari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa ajili ya kuongeza ujuzi wa upasuaji (plastic Surgery) kwa watu wenye tatizo la mdomo sungura pamoja n ...

Muhimbili yapokea msaada wa mashine ya Patholojia

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imepokea msaada wa mashine ya Patholojia kutoka kwa wataalam nchini Marekani ambayo itasaidia kurahisisha utoaji wa majibu ya wagonjwa wa saratani kutoka siku 14 hadi siku 3.

Soma Zaidi

Hospitali ya Taifa Muhimbili yatoa msaada wa Baiskeli kwa mgonjwa aliyetelekezwa

Hospitali ya Taifa Muhimbili leo imekabidhi msaada wa baiskeli ya magurudumu matatu kwa mgonjwa aliyetelekezwa na ndugu zake hospitalini hapo baada ya kukatwa miguu miwili.


Akizungumza ...

Wataalam wa Afya kutoka Marekani watembelea MNH

Wataalam wa Afya kutoka Marekani leo wametembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)  na kufanya mazungumzo na uongozi wa hospitali hiyo lengo likiwa ni kushirikiana katika utoaji wa huduma za afya.

Soma Zaidi

Muhimbili yaanzisha huduma za Tiba Radiolojia (Interventional Radiology) nchini

.  Yaokoa Tshs.3.96 Bil. ndani ya miezi 10

.  Wagonjwa 45 wahudumiwa, wagharimu Tshs.96 Mil badala ya Tshs 4.320 Bil kama    

&nb ...

Wataalam wa afya kutoka Japan watembelea Muhimbili

Wataalam wa afya kutoka nchini Japan leo  wametembelea hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na kufanya mazungumzo na uongozi wa Hospitali hiyo.

Katika mazungumzo yao watalaam hao wamepata ...

Muhimbili yapokea vifaa tiba

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) leo imepokea vifaa tiba 69 ambavyo vimefanyiwa matengenezo na kurejea katika viwango vyake vya matumizi.

Vifaa tiba hivyo (Screen) ambavyo vilikua chakavu&n ...

54 Watunukiwa vyeti vya ufanyakazi bora Muhimbili

Wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wamesisitizwa kufanya kazi kwa bidii , na kuzingatia nidhamu katika utendaji wao ili kutoa huduma bora na yenye viwango vya juu.

Kauli hiyo i ...

Idadi ya Wagonjwa waliopandikizwa Figo Muhimbili yafikia 19

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) inaendelea kutoa huduma ya kupandikiza figo ambapo hadi hivi sasa tayari wagonjwa 19 wamenufaika na huduma hiyo tangu ilipoanzishwa kwa mara ya kwanza hapa nchini  Novemba mwaka 2017.

Utoaji wa huduma hiyo ni ...

Muhimbili Yashauriwa Kuwekeza zaidi katika Mifumo ya TEHAMA

Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) umeshauriwa kuongeza kasi na kuboresha matumizi ya mifumo ya TEHAMA katika kutekeleza mipango mkakati iliyojiwekea ili kuokoa muda wa kutoa huduma na kufikia malengo yake.