Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imepokea msaada wa vifaa tiba aina ya Stents vyenye thamani ya Tshs. 86.2 milioni kutoka kampuni ya Boston Scientific ya Marekani kwa ajili ya wagonjwa wenye tatizo la saratani ya koo la chakul ...
Madaktari Bingwa 11 pamoja na wataalam wengine wa afya kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili(MNH) wamewasili katika Hospitali ya Rufaa mkoa wa Lindi Sokoine kwa ajili ya kutoa huduma mbalimbali za afya kwa wananchi wa mkoa huo san ...
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH),kuanzia Novemba 12 hadi 16, 2018 inatarajia kufanya upasuaji wa kupandikiza vifaa vya usikivu kwa watoto 10 ambao wana matatizo ya kusikia baada ya kuka ...
Timu ya soka ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imeichabanga timu ya Hospitali ya Agakhan bao 1-0 katika mchezo wa kirafiki uliochezwa kwenye Uwanja wa Muhimbili leo.
Mama wa Watoto pacha waliotenganishwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) leo wamekabidhiwa hundi ya shilingi milioni 16 na elfu 80 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ili kuwawezesha watoto hao kuishi katika makazi bora.
Mamia ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam leo wamejitokeza katika Hospitali ya Taifa Muhimbili tawi la Mloganzila iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo kwa ajili ya zoezi la kupima bure tezi dume (prostate) na mfumo wa njia y ...
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi (MUHAS), Taasisi ya Tiba Mifupa (MOI), Chuo Kikuu cha Yale na Emory nchini Marekani wameendesha kambi maalum ya kutoa huduma ...
Kikundi cha Kusaidia na Kuelimisha Jamii (MASSOD) ambacho kinaundwa na wanafunzi wa vyuo vikuu nchini kimetoa msaada wa fedha tasilimu Sh. 750,000 kwa mama wa watoto pacha waliofanyiwa upasuaji wa kuwatenganisha katika Hospitali ...
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imehitimisha leo mafunzo ya elimu ya jinsi ya kujikinga na ugonjwa wa ukimwi kwa makatibu muhtasi kutoka mikoa mbalimbali nchini na kuwatunuku vyeti vya ushiriki.