Kumi kufanyiwa upasuaji wa kuondolewa mafindofindo Ligula

Madaktari Bingwa wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kushirikiana na wataalam wa afya wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Mtwara-Ligula- leo wanawafanyia upasuaji wagonjwa 10 wenye matatizo ya mafindofindo.
Matibabu hayo ya ...

Madaktari Bingwa Muhimbili waendelea kutoa huduma Ligula

Wataalam wa afya wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kushirikiana na wataalam wa afya wa Hospitali ya Rufaa mkoa wa Mtwara, Ligula wanaendelea kutoa huduma mbalimbali za afya kwa wananchi wa mkoa huo ikiwemo huduma za kibi ...

Watalaam wa afya Muhimbili waanza kutoa huduma Hospitali ya Rufaa Mtwara

Madaktari Bingwa wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) leo wameanza kutoa huduma za afya katika Hospitali ya Rufaa mkoa wa Mtwara, Ligula ikiwa ni moja ya mkakati wa MNH wa kuwajengea uwezo wataalam wa afya wa hospitali za rufaa ...

Muhimbili kuvunja rekodi ya miaka 15, watoto 21 watibiwa

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imepata mafanikio makubwa baada ya kufanya upasuaji wa kupandikiza vifaa vya kusaidia kusikia kwa watoto 21 ndani ya miezi 17 ukilinganisha na watoto 50 waliopandikizwa vifaa hivyo miaka 15 ili ...

Muhimbili wahitimisha huduma za afya kwa njia ya mkoba katika Hospitali ya Rufaa Lindi

Watalaam wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MHN) ambao walikua wakitoa huduma za afya kwa njia ya mkoba katika Hospitali ya Rufaa mkoa wa Lindi SOKOINE wamehitimisha huduma hiyo leo kwa kuwahudumia zaidi ya wagonjwa 1103 na kufanyia upasuaji wagonjwa 47.

Wengine 10 wapandikizwa vifaa vya kusaidia kusikia Muhimbili

Huduma za matibabu zaendelea kuimarika katika Ho ...

Serikali kupunguza vifo vya watoto wachanga nchini

Serikali imesema inaendelea kuboresha maeneo ya kutolea huduma kwa watoto wa umri kuanzia sufuri hadi siku 28 wakiwamo watoto njiti ili kupunguza vifo kwa wat ...

Wataalam wa afya Lindi wawashukuru Madaktari Bingwa kutoka Muhimbili

Wataalam wa Hospitali ya Rufaa mkoa wa Lindi SOKOINE wanaendelea kunufaika na utaalam wa Madaktari Bingwa pamoja na wataalam wengine wa afya kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili huku wakiwashukuru kwa utaalam wao.
Watalaam h ...

Maelfu wajitokeza kuchunguza magonjwa yasioambukiza Muhimbili-Mloganzila

Maelfu ya watu wamejitokeza kupima afya zao katika Hospitali ya Taifa Muhimbili tawi la Mloganzila iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya ...

Madaktari Muhimbili wakiendelea kutoa huduma mkoani Lindi

Wataalam wa afya wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) pamoja na wataalam wa Hospitali ya Rufaa mkoa wa Lindi Sokoine wakiendelea kutoa huduma kwa wagonjwa na kuwajengea uwezo wataalam wa hospitali hiyo ili kupunguza rufaa za wa ...