Watoto kumi ambao wamewekewa vifaa maalum vya kusaidia kusikia (Cochlear Implant) katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) leo wameanza kusikia kwa mara ya kwanza baada ya kuwashiwa vifaa hivyo (switch on).
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) inaendelea kuwatumia watalaam wake wabobezi katika kutoa matibabu yanayolenga kutunza utu, kuepusha magonjwa na ulemavu.
Hayo yamesemwa leo jijini Dar es salaam na Kaimu Mkurugenzi w ...
Mamia ya wananchi leo wamejitokeza kupima afya zao katika Hospitali ya Taifa Muhimbili tawi la Mloganzila iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani ambapo hospitali hiyo imefanya zoezi la upimaji bure ...
Serikali imedhamiria kuongeza vyumba vya upasuaji na vyumba maalum vya uangalizi wa karibu (ICU) katika hospitali za mikoa na wilaya nchini ili kupunguza vifo vya kina mama na watoto wachanga.
Madaktari Bingwa wa Hospitali ya Taifa Muhimbili pamoja na watalaam wengine wa afya leo wamehitimisha utoaji wa huduma za afya katika Hospitali ya Rufaa mkoa wa Mtwara -Ligula- kwa kuhudumia wagonjwa zaidi ya 1476. Upasuaji ...
Wataalam wabobezi wa upasuaji wa kinywa mataya na uso (Oral & maxillofacial surgeons) wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kushirikiana na wenzao wa Marekani kwa mara ya kwanza kupitia Hospitali ya umma nchini, wamefany ...