Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima amesema amefarijika jinsi Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) inavyosimamia mpango wa maendeleo wa mapambano dhidi ya UVIKO-19 wenye thamani ...
Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imehitimisha mafunzo elekezi ya siku mbili kwa watumishi tarajali wa kada mbalimbali za afya yaliyolenga kuwakumbusha kuzingatia maadili ya kazi ili kukidhi matarajio ya wananchi.
Wataalamu tarajali wa kada za afya kutoka vyuo mbalimbali nchini wametakiwa kufanya kazi kwa bidii na kuzingatia maadili ya kazi ili kuendelea kujenga taswira nzuri kwa wananchi wanaopata huduma katika hospitali hiyo.
Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Sekta ya Afya (TUGHE) Tawi la Hospitali ya Taifa Muhimbili–Mloganzila kimefanya mkutano wake wa kwanza ambao umejadili mambo mbalimbali ya ikiwemo kufanya uchaguzi wa viongozi watakaoziba nafasi zilizoachwa wazi ku ...
Chama cha kitume cha Wafanyakazi Wakatoliki wa Hospitali ya Taifa Muhimbili na Taasisi taasisi zilizopo muhimbili Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), wametoa msaada wa mahitaji mbalimbali ...
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imepokea msaada wa vifaa tiba vya fiziotherapia vyenye thamani ya shillingi TZS 84 Mil. kutoka katika mradi wa kuongeza kasi ya upatikanaji huduma kwa magonjwa ya damu unaotekelezwa na Serikali ...
Watanzania watano waliopandikizwa Uloto, (Bone Marrow Transplant) ambao walikuwa wakisumbuliwa na saratani ya damu (maltiple myeloma) wameruhusiwa kwenda nyumbani baada ya afya zao kuimarika ikiwa ni siku 17 tangu wapatiwe hudum ...
Watumiaji wa vifaa tiba wa Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila wametakiwa kuharakisha kuingiza taarifa za vifaa tiba katika mfumo wa Tehama wa kufuatilia matengezezo, kuhifadhi na kutoa taarifa za vifaa tiba unaosimamiwa na Wizara ya Afya, Maendeleo ya ...
Madaktari, wauguzi na wataalamu mbalimbali wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (Upanga&Mloganzila) wametakiwa kuendelea kufanya kazi kwa weledi na kujituma zaidi ili kuendelea kuboresha huduma kwa wateja wanaokuja hospitalini hapo.