Hospitali ya Mloganzila yahitimisha uchunguzi wa awali wa kuangalia uvimbe kwenye matiti

Hospitali ya Taifa Muhimbili, Mloganzila kwa kushirikiana na Chama cha Madaktari Wanawake Tanzania (MEWATA) leo wamehitimisha zoezi la kutoa huduma ya uchunguzi wa awali wa kuangalia uvimbe kwenye matiti bila kufanya upasuaji na kuhudumia watu zaidi ya 130. ...

Zaidi ya watu 70 wafanyiwa uchunguzi wa kuangalia uvimbe kwenye matiti

Hospitali ya Taifa Muhimbili, Mloganzila kwa kushirikiana na Chama cha Madaktari Wanawake Tanzania (MEWATA) leo imetoa huduma ya uchunguzi wa awali wa kuangalia uvimbe kwenye matiti bila kufanya upasuaji.
Akizungumzia zoezi hilo mtaalam wa Radiolojia w ...

KNCV, Muhimbili waboresha huduma kwa wagonjwa wa kifua kikuu

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) leo imekabidhiwa jengo la wagonjwa wa Kifua Kikuu (TB) lililokarabatiwa na mradi wa TB unaofadhiliwa na USAID chini ya Shirika la KNCV ili kusaidia wagonjwa wengi kutibiwa kwa wakati mmoja kati ...

Muhimbili kusuka upya mfumo wa kliniki

Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) umesema unaangalia jinsi ya kuboresha mfumo wa kliniki ili wagonjwa wahudumiwe kwa wakati baada ya kufika katika hospitali hiyo kupata huduma za matibabu.

Kauli hiyo imetolewa leo na Mkurugenzi Mtend ...

Muhimbili-Mloganzila yainyuka mabao 6 kwa nunge timu ya Albino United

Timu ya Hospitali ya Taifa Muhimbili tawi la Mloganzila (Mloganzila Sports Club) imeichapa mabao 6-0 timu ya Albino United ya Kibamba, mchezo uliyofanyika leo katika kituo cha michezo cha Jakaya Kikwete Youth Park Kidongo chekun ...

Mashine mpya ya Utrasound kuwanufaisha watoto wachanga Muhimbili

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) leo imepatiwa msaada wa mashine ya kisasa ya Utrasound ambayo itatumika katika wodi ya watoto wachanga kwa ajili ya kuwafanyia vipimo vya moyo, kichwa na tumbo.
Mashine hiyo yenye teknolojia ya juu na uwezo mkubwa wa ...

Atoa msaada baada ya kufuraishwa na huduma Muhimbili

Mkazi mmoja wa jijini Dar es Salaam ametoa msaada wa vifaa tiba aina ya (suction machines) kwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ili kusaidia wagonjwa wenye matatizo katika mfumo wa hewa baada ya kuvutiwa na huduma nzuri za mat ...

MAKONDA ATOA ZAWADI YA MWAKA MPYA KWA WAGONJWA, WAFANYAKAZI MUHIMBILI, ORCI NA HOSPITALI ZA RUFAA DAR

Mkuu wa Mkoa wa  Dar es Salaam, Paul Makonda ametoa zawadi ya ng’ombe 20  kwa ajili ya mwaka mpya 2019 kwa wagonjwa na wafanyakazi wa  Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) pamoja na hospitali za rufaa za Temek ...

Wafanyakazi Muhimbili watakiwa kuepuka vitendo vya rushwa

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Prof. Lawrence Museru amewataka watumishi wa hospitali hiyo kufanya kazi kwa kufuata maadili ya utumishi wa Umma na kujiepusha na vitendo vya rushwa pamoja na utoaji wa l ...

Cuba kuendelea kuimarisha huduma za kibingwa Muhimbili

Serikali ya Cuba imeeleza azma yake ya kuendelea kushirikiana na Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) katika kutoa huduma bora za kibingwa sambamba na kuwajengea uwezo watalaam wa Muhimbili.

Kauli hiyo imetolewa leo jij ...