Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu amewaagiza watalaam wa wizara ya afya kuhakikisha kunakuwa na takwimu za kitaifa kuhusu hali ya usikivu nchini ili kubaini ukubwa wa tatizo hilo. ...
Wingi wa watu waliojitokeza leo kupima usikivu wao umeonyesha ni jinsi gani wananchi wanajali afya zao, huku wakipewa sababu zinazosababisha baadhi ya watu kupoteza uwezo wa kusikia na jinsi ya kuzuia upotevu wa kusikia. Upimaji wa usikivu bila malipo ...
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Zainab Chaula amezipongeza Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Taasisi ya Mifupa ...
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imesema kwamba asilimia 99 ya wagonjwa wenye vivimbe vya kinywa (dental ehemngiomas) hivi sasa wanapatiwa huduma ya kibingwa ya tiba radiolojia (interventional radiology) badala ya kupelekwa nj ...
Viongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila wametakiwa kufanya kazi kwa bidii na kuzingatia Sheria, Kanuni, Maadili na Miongozo ya Utumishi wa Umma ili kutimiza dira na malengo ya Hospitali. Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es salaam na Mkurugen ...
Zaidi ya wagonjwa 50 wanatarajiwa kupatiwa huduma za kibingwa za tiba radiolojia (interventional radiology) ya kuzibua mirija ya nyongo, kuweka mirija kwenye figo ambazo mirija ya mkojo imeziba (nephrostomy tube placement) na ku ...
Viongozi wa taasisi nne; Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI), Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila zimekutana leo kujadiliana jinsi ya kuboresha hudum ...
Bonanza la michezo lililoandaliwa na Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) limefana na kuleta ushindani mkubwa kwa timu shiriki za mpira wa pete na miguu za hospitali hiyo na hivyo timu hizo kugawana makombe.
Timu ya watalaam wa Radiolojia kutoka nchini Marekani wamewasili katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Mloganzila kwa ajili ya kuwajengea uwezo watalaam wa hospitali hiyo wa kutoa sampuli kwenye vivimbe vya kwenye matiti kupitia njia ya kitaalam (Core Biopsy ...