Serikali ya Zanzibar kujenga hospitali mithili ya Mloganzila

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) inatarajia kujenga hospitali kubwa ya kisasa yenye uwezo wa kubeba vitanda 1,000 ili kutoa huduma pamoja na kufundishia watalaam wa fani mbalimbali za afya.

Kauli hiyo imetolewa ji ...

Balozi Mgaza aahidi kuandaa mafunzo zaidi kwa wataalam wa afya nchini

Wauguzi wasisitizwa kuzingatia maadili ya kazi

Msajili wa Baraza la Uuguzi na Ukungu nchini Agnes Mtawa amewataka wauguzi na wakunga kuzingatia maadili ya kazi ili kutoa huduma bora kwa wagonjwa.
Sista Mtawa amesema hayo leo jijini Dar es salaam alipokuwa akizungumza ka ...

Mganga mkuu ashauri kujengwa kwa hospitali kubwa nchini

Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Mohamed Kambi ameiomba Serikali ya Uarabuni kundelea kutoa misaada mbalimbali ukiwamo wa kujenga hospitali kubwa nchini ili kuwasaidia wagonjwa mbalimbali nchini. 

Kauli hiyo imetolewa na Prof. Kambi wakati akifun ...

Wafiziotherapia wajengewa uwezo huduma ya mfumo wa uzazi, nyonga na mkojo

Mafunzo ya siku tatu kwa wataalam wa Fiziotherapia nchini yamemalizika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), huku wataalam wakitakiwa kutumia elimu walioipata kuwasaidia wanaume na wanawake wenye matatizo kwenye mfumo wa uz ...

TUGHE yatoa zawadi kwa kina mama Mloganzila.

Viongozi kutoka Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya (TUGHE) makao makuu, leo wametembelea Hospitali ya Taifa ya Muhimbili -Mloganzila na kuwapatia zawadi mbalimbali wanawake waliojifungua na wale waliolazwa na watoto hospi ...

Siku ya Wanawake Duniani, MSD yagawa zawadi Muhimbili

Viongozi kutoka Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya (TUGHE) makao makuu, leo wametembelea Hospitali ya Taifa ya Muhimbili -Mloganzila na kuwapatia zawadi mbalimbali wanawake waliojifungua na wale waliolazwa na watoto hospi ...

Baraza la Wazee Asilia watoa msaada kwa Wagonjwa Mloganzila

Baraza la Wazee Asilia Mbezi Luis Jijini Dar es salaam (BAWAZI) leo wametembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila na kutoa msaada wa mafuta, sabuni pamoja na pampers kwa baadhi ya wagonjwa ambao hawajiwezi.
Akizungumza mara baada ya kupokea msaa ...

Wataalam wa Fiziotherapia nchini wapigwa msasa

Wataalam wa Fiziotherapia kutoka hospitali mbalimbali nchini leo wameanza mafunzo kuhusu tiba afya eneo la nyonga, mfumo wa mkojo na mfumo mzima wa uzazi kwa kina mama.

Mafunzo hayo ambayo ni ...

Madaktari nchini wakumbushwa kuzingatia maadili