Muhimbili yafanya usafi Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar

Timu ya Michezo ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) leo imeshiriki kufanya usafi katika maeneo mbalimbali ya Hospitali ya Mnazi  Mmoja Zanzibar kwa lengo la kudumisha uhusiano  na ushirikiano kati ya hospitali hizo.< ...

Mariam afanyiwa uchunguzi kubaini ugonjwa alionao

Wataalam wabobezi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), leo wameanza kufanya vipimo mbalimbali vya uchunguzi kwa Mariam Rajab Juma mwenye kidonda sehemu ya mgongoni ili kubaini chanzo cha ugonjwa alionao.

Akizungumza ...

Mariam Rajab awasili Muhimbili usiku huu

Mariam Rajab (25), mkazi wa Singida ambaye video yake imesambaa kwenye mitandao ya kijamii akiomba msaada wa matibabu, amewasili saa 6:00 usiku huu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).

...

Wagonjwa wenye saratani waanza kuwekewa vifaa tiba kooni

Kampuni ya Boston Scientific ya Marekani imetoa msaada wa vifaa tiba aina ya stents kwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) vyenye thamani ya shilingi milioni 29 ambavyo vitawasaidia wagonjwa wenye tatizo la saratani ya koo la ch ...

Viwawa Parokia ya Kibamba wachangia damu Mloganzila

Vijana wakatoliki wafanyakazi (Viwawa) Parokia ya Kibamba Jijini Dar es salaam leo wametembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila na kushiriki matendo ya huruma ikiwemo zoezi la uchangiaji damu.

Soma Zaidi

Mloganzila yahitimisha mafunzo ya upasuaji wa saratani ya matiti

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila leo imehitimisha mafunzo ya kuwajengea uwezo wataalam wa Radiolojia, Pathiolojia, Upasuaji, tiba ya mionzi na dawa namna ya kufanya upasuaji wa saratani ya matiti kwa kutoa uvimbe bila kuondoa titi lote kwa wagonjwa w ...

Upasuaji saratani ya matiti sasa unafanyika kwa njia ya kisasa zaidi(Breast conserving surgery)

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa kushirikiana na kampuni ya dawa ya Roche ya nchini Kenya imeandaa mkutano wa kisayansi wa kuwajengea uwezo wataalam wa Radiolojia, Pathiolojia, Upasuaji, tiba ya mionzi na dawa kufanya ...

Wauguzi Muhimbili watakiwa kuzingatia sheria na kanuni za kazi

Wauguzi na wakunga Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wametakiwa kuzingatia sheria na kanuni za kazi wakati wa kutoa huduma kwa wagonjwa mbalimbali wanaotibiwa katika hospitali hiyo.

Kauli hiyo imetolewa leo na Afisa ...

Wagonjwa Muhimbili-Mloganzila wapewa zawadi

Kanisa la Waadventista Sabato kutoka Mbezi Luis wakiwamo waumini ambao ni wanachama wa Chama cha Wanaume  Amo na Wanawake Dorkas wametoa zawadi kwa wagonjwa mbalimbali katika Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila.

Mloganzila yapatiwa msaada wa vifaa tiba

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila leo imepokea msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi milioni 15 ambavyo vitatumika katika vyumba vya upasuaji kwa ajili ya kuwahudumia wagonjwa wenye vidonda.
Vifaa hivyo Caim ...