Bodi ya wadhamini ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imetembelea miradi mbalimbali ya maendeleo ya hospitali yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 9.7.
Miradi ambayo imekaguliwa na bodi ni wodi ya watoto wanao ...
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) inaendesha mafunzo ya siku tano kwa wahakiki na wasimamizi wa utoaji wa huduma bora (Quality Management Team) kwa lengo la kuendelea kutoa huduma bora za afya kwa wagonjwa wanaofikishwa Muhimbi ...
Wataalam wa afya nchini wametakiwa kujikita zaidi katika kufanya utafiti na uvumbuzi ili kuleta matokeo chanya katika utoaji wa huduma za afya. Wito huo umetolewa leo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Hospitali ya Taifa ...
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imepokea msaada wa mashini za kutoa tiba ya saratani macho kwa watoto bila kuyaondoa zenye thamani ya shilingi milioni 170 kutoka Rotary Club Oyster bay jijini Dar es Salaam.
Wauguzi wametakiwa kuendelea kutekeleza majukumu ya kazi kwa kuzingatia kanuni na taratibu za kitaaluma kwa lengo la kutoa huduma bora za afya kwa wagonjwa.
Wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wameungana na wenzao duniani kushiriki maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani ambayo hufanyika Mei Mosi kila mwaka. Wafanyakazi wa MNH walianza maandamano katika hospitali hii kuelekea Uwanja wa Uhu ...
Baada ya Mariam Rajab Juma (25), mkazi wa Singinda kufanyiwa vipimo mbalimbali ili kubaini ugonjwa unaomsumbua, wataalam wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wameshauri ahamishiwe Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI) ...
Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mh. Harusi Suleiman amezitaka Hospitali ya Taifa Muhimbili MNH na Mnazi Mmoja kudumisha uhusiano na ushirikiano uliopo ili kuwaenzi waasisi wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Timu ya mpira wa pete ya Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar imeibuka mshindi baada ya kuichabanga Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) bao 40-16 kwenye michezo ya Bonanza la Pasaka inayoendelea mjini humo. Katika mchezo huo uliofanyika uwanja cha Gy ...
Timu ya mpira wa miguu ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imeendelea kuonyesha ubabe kwa timu mbalimbali zinazoshiriki michezo ya Pasaka inayofanyika Zanzibar baada ya kuichapa timu ya Mwera Fc goli 1-0 katika Viwanja vya Mbw ...