Upandikizaji vifaa vya usikivu Muhimbili waongezeka kwa asilimia 90

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imepiga hatua kubwa katika kuwajengea uwezo wataalam wake wa kupandikiza vifaa vya usikivu kwa wagonjwa wenye matatizo ya kutosikia ambapo umeongezeka kwa zaidi ya asilimia 80 hadi 90 ikilingan ...

375 wapima Homa ya Ini, 29 waambukizwa

Wataalam wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wameadhimisha siku ya Homa ya Ini duniani kwa kutoa huduma ya upimaji wa afya kwa watu 375, huku 29  kati yao wakiwa wameambukizwa ugonjwa wa Homa ya Ini na 55 wakiwa wamepatiw ...

Muhimbili yapatiwa msaada vifaa tiba na vitanda kutoka Australia Tanzania

MLOGANZILA WAPATIWA MAFUNZO DHIDI YA MAJANGA YA MOTO.

Wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila wamepatiwa mafunzo ya kinga na tahadhari dhidi ya majanga ya moto kwa lengo la kujikinga na majanga ya moto na kuhakikisha Tanzania inakua salama dhidi ya majanga ya moto.
Mafunzo hayo ya siku mbil ...

MNH, Emory University wakutana kuangalia njia za kuboresha matibabu

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imeanza kupitia mbinu za kuboresha mifumo ya hospitali kwa lengo la kutoa huduma bora mbalimbali za afya ikiwamo kupunguza muda mrefu wa wagonjwa wanaotumia kupata huduma za matibabu.

WAFANYAKAZI MUHIMBILI WAHIMIZWA KUCHUNGUZWA HOMA YA INI

Wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) hususani wale wanaofanya kazi katika maeneo hatarishi wameimizwa kufanya uchunguzi wa homa ya ini ili watakaobainika kuwa na tatizo hilo wapewe tiba kulingana n ...

Wajumbe wa Bodi Zanzibar waipongeza Mloganzila

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila- imewekea mikakati mbalimbali ya kuhakikisha inaendelea kutoa huduma bora za afya kwa wananchi ikiwemo huduma za kibingwa na kibobezi.
Hayo yamesemwa leo jijini Dar es salaam na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Muhim ...

Oxford yaongeza nguvu upandikizaji ULOTO Muhimbili

Wataalam kutoka Hospitali ya Chuo Kikuu cha Oxford nchini Uingereza wameanza kutoa mafunzo kwa madaktari bingwa wa damu, madaktari bingwa wa saratani na wauguzi ili kuwaongezea uj ...

Balozi wa Uingereza afanya ziara Muhimbili

Balozi wa Uingereza nchini Tanzania amefanya ziara ya siku moja Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ambako amekagua vifaatiba vikiwamo vinavyotumika kutoa huduma kwa wagonjwa wa macho.

 

...

KWAYA YA WATOTO YATOA MSAADA WA MASHINE YA MILIONI 100 MUHIMBILI

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imepatiwa msaada wa machine ya kisasa ya Optical Coherence Tomography (OCT) ya kusaidia kupima magonjwa ya macho yenye zaidi ya thamani ya Shilingi milioni 100.

Msaada umetolewa na S ...