Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Hamisi Ulega pamoja na wananchi wa Jimbo la Mkuranga wamejitokeza katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kuchangia damu kwa majeruhi wa ajali ya moto iliyotokea ...
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mkemia Mkuu wa Serikali wanaendesha zoezi la kuwapima vinasaba majeruhi ambao hawajitambui wa ajali ya moto iliyotokea Morogoro ili kubaini ndugu zao hal ...
Chama cha Wafamasia wamiliki wa Maduka ya Dawa (POPTA) wametoa msaada wa dawa na vifaa tiba kwa ajili wa majeruhi wa ajali ya moto iliyotokea mkoani Morogoro, ambao wamelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt John Pombe Magufuli ametembelea majeruhi wa ajali ya moto waliolazwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na kuahidi kulipa gharama zote za matibabu, dawa na chakula kwa majeruhi wote.
Majeruhi wa ajali ya moto iliyotokea mkoani Morogoro baada ya lori la mafuta kuanguka, usiku huu wamepokelewa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa ajili ya kupatiwa matibabu zaidi na wataalam wa MNH.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu amezikaribisha nchi wanachama wa SADC kutumia huduma za ubingwa wa juu zinazopatika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Taasisi ya Tiba ya Mifu ...
Hospitali ya Taifa Muhimbili - Mloganzila inatarajia kufungua benki ya maziwa ya mama kwa lengo la kusisitiza umuhimu wa kuwapatia watoto wachanga maziwa ya mama ambayo ni chakula bora na salama. Hivyo kina mama watakojifungua katika Hospitali ya Muhim ...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa ameipongeza Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kutoa huduma bora za ubingwa wa juu kwa Watanzania.
Wagonjwa waliopandikizwa figo Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) sasa wamefikia 47, huku MNH ikifanikiwa kiuokoa Tshs. 3.5 bilioni tangu huduma hii ilipoanza kutolewa Novemba 2017.