Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mh. Angellah Kairuki leo ametoa msaada wa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 10 kwa wodi ya watoto mwenye magonjwa ya saratani katika Hospitali ya Taifa ...
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili(MNH), leo imepokea msaada wa damu unit 100 kutoka kwa Mkuu wa mkoa wa Tabora Mh. Agrey Mwanri kwa lengo la kusaidia majeruhi wa ajali ya moto wanaoendelea kupatiwa matibabu Muhimbili. Akikabidhi msaada huo kwa niaba ya M ...
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mh.Ummy Mwalimu, leo amewatembelea majeruhi wa ajali ya moto iliyotokea mkoani Morogoro wanaoendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH). ...
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Prof. Charles Majinge amelitaka Baraza la Wafanyakazi la Hospitali ya Muhimbili-Mloganzila kusimamia utekelezaji wa dhamira ya kuhudumia wagonjwa kwa lengo la ...
Wafanyakazi wa shirika la umeme Tanzania (Tanesco) kanda ya Dar es Salaam na Pwani, wamejitokeza kuchangia damu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili(MNH) kitengo cha damu salama.
Meneja Mwandamizi wa Tanesco kanda ya Dar es Salaam na Pwani,Mhandis ...
Majeruhi 7 kati ya 32 waliokuwa wakipatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) wamefariki dunia. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Umma Hospitalini ya Taifa Muh ...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge; Kazi, Ajira, Vijana na Walemavu, Bi. Jenista Mhagama ametembelea Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kwa ajili ya kuwajulia hali majeruhi wa ajali ya moto iliyo ...