Wanachama CCM Wachangia damu Muhimbili

Wachangia damu Muhimbili

 

...

Kampuni ya CZI yamalizia deni la JPM Muhimbili

Kampuni ya CZI ambayo ni wamiliki wa magazeti ya Tanzanite, Fahari yetu na Tanzania Perspective imemalizia deni la shilingi 364,814.02 kati ya shilingi 5,364, 814.2 ambalo Rais Dkt. John Pombe Magufuli aliahidi kulipa ikiwa ni g ...

Vijana Kanisa la Anglikana wachangia damu Mloganzila

Hospitali ya Taifa Muhimbili –Mloganzila imetoa wito kwa wananchi kujenga utamaduni wa kujitolea katika masuala mbalimbali ya kijamii ikiwemo kuchangia damu wagonjwa ambao wanauhitaji wa damu ili kuokoa maisha yao.
Ka ...

Deni la JPM la shilingi milioni 5 lalipwa Muhimbili

Deni la shilingi milioni 5 kati ya Shilingi 5,364, 814.2 ambalo Rais Dkt. John Pombe Magufuli aliahidi kulipa ikiwa ni gharama za matibabu ya marehemu Bi. Sabina Kitwae Loita, leo limelipwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (M ...

Balozi wa Korea atembelea Hospitali ya Mloganzila

Balozi wa Jamhuri ya Korea Tae-ick-Cho leo amekutana na kufanya mazungumzo na uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila na kuahidi ushirikiana katika kutatua changamoto mbalimbali kwa lengo la kuendelea kuboresha utoaji ...

Waziri Mhagama awajulia hali majeruhi wa ajali ya moto

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Walemavu, Bi. Jenista Mhagama ametembelea Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kwa ajili ya kuwajulia hali majeruhi wa ajali ya moto iliyo ...

Madaktari waeleza sababu vifo majeruhi 32 ajali ya moto


Madaktari bingwa wa upasuaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), wameeleza kuwa vifo vya majeruhi 32 kati ya 47 wa ajali ya moto havitokani na ukosefu wa watalaam wala vifaa tiba.
Wakizungumza na waandishi wa h ...

Wahandisi watoa msaada kwa ajili ya majeruhi wa ajali ya moto

Watumishi wa Makampuni ya ujenzi ya Nippo-dai nippo jv, Ingerosec na Mac contractors, yanayohusika na upanuzi wa  barabara mpya ya Bagamoyo ,wamechangia dawa na vifaa mbalimbali Vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni m ...

Madereva wa Maroli wachangia damu kwa ajili ya majeruhi wa ajali ya moto

Wanachama wa chama cha wafanyakazi wa maroli Tanzania (CHAWAWATA), leo wamejitokeza katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kuchangia damu kwa ajili ya majeruhi ya ajali ya moto iliyotokea mkoani Morogoro, wanaoendelea kupa ...

Mzumbe watoa msaada kwa majeruhi wa ajali ya Moto

Wafanyakazi na wanafunzi wa chuo Kikuu cha Mzumbe tawi la Dar es salaam, wamechangia mahitaji maalum kwa majeruhi wa ajali ya moto iliyotokea mkoani Morogoro, wanaoendelea kutibiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Mahitaji hayo yenye thamani ya ...