Wanawake Mloganzila wafanya usafi wa mazigira

Wafanyakazi wanawake wa Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila  wamefanya usafi wa mazingira ya nje ya hospitali ikiwa  sehemu ya shughuli za kijamii na kujitolea katika kuelekea  maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo huadhimishwa&n ...

Muhimbili yafunga mashine za kutoa tiba mvuke, watalaam kuzifanyia utafiti

Hospitali ya Taifa Muhimbili imefunga mashine nne za kutoa dawa kwa njia ya mvuke (steam inhalation machines) zilizotengenezwa nchini na Shirika la Viwanda Vidogo (SIDO) ili kusaidia wagonjwa kupata tiba ya mfumo wa upumuaji kwa ...

Mloganzila yapokea wataalamu bingwa kutoka Cuba

Hospitali ya Taifa ya Muhimbili –Mloganzila imewapokea wataalamu bingwa 10 kutoka nchini Cuba ikiwa ni mikakati yake ya kuendelea kuboresha utoaji wa huduma za afya hususani huduma za kibingwa.

Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya T ...

Wataalamu bingwa kutoka Cuba wawasili Muhimbili

 

Jopo la madaktari bingwa na ...

Mloganzila yazindua kitabu cha utambuzi wa tatizo kwa mgonjwa

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imezindua kitabu cha muuguzi cha utambuzi wa tatizo kwa mgonjwa (Nursing Diagnoses for Academic and clinical Practice) ambacho kitainua ubora wa huduma za kiuuguzi na ukunga.

Kitabu hicho kimeandikwa na Afisa ...

Mloganzila yapatiwa msaada wa mashine ya uchunguzi wa macho

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imepokea msaada wa mashine ya  uchunguzi wa macho (Slit Lamp Biomicroscope) yenye thamani ya takribani TZS. 20Mil  ambayo itatumika kufanya uchunguzi kwa watu wenye matatizo ya macho.

Msaada huu umet ...

Watumshi Mloganzila wasisitizwa kuendelea kutoa huduma bora.

Watumishi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila wametakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu ili kuendelea kutoa huduma bora na kukidhi matarajio ya wateja.

Akizungumza kwa niaba ya Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospit ...

Mloganzila yakabidhiwa msaada wa vifaa tiba vya TZS. 73, 000,000Mil

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imepokea msaada wa vifaa tiba vinavyogharimu Dola za Marekani 31,524 sawa na TZS. 73,000,000 Mil kutoka Korea Foundation for International Healthcare (KOFIH) kwa lengo la kusaidia hospitali kuendelea kutoa huduma bora ...

Wananchi zaidi ya 200 wapimwa afya bure Mloganzila

Wauguzi Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila wamefanya zoezi la upimaji wa afya bure kwa wananchi na kutoa elimu juu ya magonjwa yasiyoambukiza ikiwa ni sehemu ya kuhitimisha mwaka wa wauguzi duniani 2020.

Katika zoezi hilo zaidi ya watu 200 wame ...

Watumishi Muhimbili Waaswa Kutokujihusisha na Rushwa

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imeendesha mafunzo ya siku mbili ambayo yamelenga kuwakumbusha watumishi  kuzingatia sheria ya kupambana na rushwa sambamba na maadili katika utumishi wa umma.

Katika mafunzo hayo watumishi walikumbushwa kutoj ...