Mashine mpya ya Utrasound kuwanufaisha watoto wachanga Muhimbili

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) leo imepatiwa msaada wa mashine ya kisasa ya Utrasound ambayo itatumika katika wodi ya watoto wachanga kwa ajili ya kuwafanyia vipimo vya moyo, kichwa na tumbo.
Mashine hiyo yenye teknolojia ya juu na uwezo mkubwa wa ...

Atoa msaada baada ya kufuraishwa na huduma Muhimbili

Mkazi mmoja wa jijini Dar es Salaam ametoa msaada wa vifaa tiba aina ya (suction machines) kwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ili kusaidia wagonjwa wenye matatizo katika mfumo wa hewa baada ya kuvutiwa na huduma nzuri za mat ...

MAKONDA ATOA ZAWADI YA MWAKA MPYA KWA WAGONJWA, WAFANYAKAZI MUHIMBILI, ORCI NA HOSPITALI ZA RUFAA DAR

Mkuu wa Mkoa wa  Dar es Salaam, Paul Makonda ametoa zawadi ya ng’ombe 20  kwa ajili ya mwaka mpya 2019 kwa wagonjwa na wafanyakazi wa  Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) pamoja na hospitali za rufaa za Temek ...

Wafanyakazi Muhimbili watakiwa kuepuka vitendo vya rushwa

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Prof. Lawrence Museru amewataka watumishi wa hospitali hiyo kufanya kazi kwa kufuata maadili ya utumishi wa Umma na kujiepusha na vitendo vya rushwa pamoja na utoaji wa l ...

Cuba kuendelea kuimarisha huduma za kibingwa Muhimbili

Serikali ya Cuba imeeleza azma yake ya kuendelea kushirikiana na Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) katika kutoa huduma bora za kibingwa sambamba na kuwajengea uwezo watalaam wa Muhimbili.

Kauli hiyo imetolewa leo jij ...

Watoto 10 waanza kusikia kwa mara ya kwanza

Watoto kumi ambao wamewekewa vifaa maalum vya kusaidia kusikia (Cochlear Implant) katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) leo wameanza kusikia kwa mara ya kwanza baada ya kuwashiwa vifaa hivyo (switch on).

Watoto ha ...

Wataalam Muhimbili wapigwa msasa kuhusu sheria ya manunuzi

Mafunzo kuhusu sheria ya manunuzi ya mwaka 2011

...

Naibu Waziri wa Afya akabidhi msaada wa madawati 52 Muhimbili

Msaada wa madawati Muhimbili

...

Muhimbili kuendelea kuboresha huduma kwa watu wenye ulemavu

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) inaendelea kuwatumia watalaam wake wabobezi katika kutoa matibabu yanayolenga kutunza utu, kuepusha magonjwa na ulemavu.

Hayo yamesemwa leo jijini Dar es salaam na Kaimu Mkurugenzi w ...

Muhimbili tawi la Mloganzila yaadhimisha siku ya Ukimwi Duniani kwa kutoa huduma ya upimaji wa afya bure

Mamia ya wananchi leo wamejitokeza kupima afya zao katika Hospitali ya Taifa Muhimbili tawi la Mloganzila iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani ambapo hospitali hiyo imefanya zoezi la upimaji bure ...