Msajili Baraza la Uuguzi Tanzania Aanza Kazi Rasmi

Msajili wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania, Bi. Agnes Mtawa leo ameanza kazi rasmi baada ya kukabidhiwa ofisi tangu alipoteuliwa kushika nafasi hiyo mwezi uliopita. Bi. Agnes Mtawa anachukua nafasi ya Bi. Lena Mfalila aliyem ...

Taasisi ya SUKOS yakabidhi vifaa vya Zimamoto Hospitali ya Muhimbili

Taasisi ya Maafa, Majanga na Uokoaji -SUKOS, leo ameikabidhi Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) vifaa vya zimamoto ili kusaidia uokozi mara yanapotokea majanga ya moto.

Mkurugenzi wa taasisi ...

Muhimbili, MUHAS Watoa Mafunzo ya Awali kwa Watoa Huduma wa Magonjwa ya Dharura

Wataalamu Bingwa wa Huduma ya Tiba ya Dharura na Ajali wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Chuo Kikuu cha Sayansi ya Afya na Tiba Shirikishi(MUHAS)kwa kushirikian na Chama cha Wataalamu wa Magonjwa ya Dharura na Ajali Tanzania (EMAT) wameendesha mafunzo ...

Waziri Hamad Rashid Awataka Viongozi Kudumisha Michezo

Waziri wa Afya Zanzibar, Hamad Rashid Mohamed leo amefungua tamasha la michezo ya Pasaka inayohusisha timu za michezo kutoka Wizara ya afya Zanzibar , Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) , Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI ...

Serikali Kuboresha Michezo Taasisi Afya

Serikali imesema itaendelea kuboresha michezo sehemu za kazi ili kuifanya iwe endelevu na kuwawezesha watumishi wengi kushiriki.

Kauli hiyo imetolewa na Naibu Mkurugenzi Mkuu-Kitengo cha Utaf ...

Endeleeni Kutoa Huduma Bora Kwa Wagonjwa

Wafanyakazi Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wakiwamo madaktari na wauguzi wametakiwa kuendelea kutoa huduma bora kwa wagonjwa na kwamba atakayekwenda kinyume na agizo hilo atachukuliwa hatua na mamlaka husika.

Soma Zaidi

Muhimbili Kupandikiza Figo Wagonjwa 200 kwa Mwaka

Hospitali ya Taifa Muhimbili  (MNH) imeweka mipango ya muda mrefu na muda mfupi ili kuhakikisha huduma ya upandikizaji figo inakuwa endelevu, na imedhamiria kupandikiza figo kwa wagonjwa zaidi 200 kwa mwaka.

Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dare ...

Mbuge Ali Khamis Aipongeza Muhimbili Kuponya Mwanae

Mbunge wa Jimbo la Mwanakwerekwe Mh. Ali Salim Khamis leo ameipongeza Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) pamoja na watalaam wake wote kwa jinsi walivyompokea mtoto wake na kumpa huduma stahiki.

“Leo natoa shukrani zangu za dhati kwa MNH na kukabid ...

Muhimbili Yapokea Msaada wa Vifaa Tiba

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) leo imepokea msaada wa vifaa tiba kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) wenye thamani ya shilingi milioni kumi.

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPA ...