Wataalam tarajali wasisitizwa nidhamu na uwajibikaji

Wataalam tarajali wa fani mbalimbali za afya 80 walioko kwenye mafunzo kwa njia ya vitendo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila wametakiwa kudumisha nidhamu na kujituma mahala pa kazi ili kujifunza na kupata ujuzi utak ...

WATALAAM TARAJALI WAFUNDWA MUHIMBILI

Watalaam wa afya walioko kwenye mafunzo kwa njia ya vitendo (Tarajali), wametakiwa kutumia muda wao wa mwaka mmoja kujifunza na kupata ujuzi ili wanapomaliza waweze kujitegemea na kutoa huduma bora kwa wananchi.

Hayo yam ...

127 Wapatiwa mafunzo kwa njia ya vitendo Mloganzila

Madaktari na wauguzi tarajali 127 wamehitimu mafunzo kwa njia ya vitendo yaliyolenga kuwapatia uzoefu wa kutoa huduma bora za afya kulingana na taaluma zao.


Mafunzo hayo ya mwaka mmoja ...

Watoto wawili wawashiwa vifaa vya kusaidia kusikia

Watoto wawili ambao wamewekewa vifaa vya kusaidia kusikia katika hospiali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila leo wamewashiwa vifaa hivyo na kuweza kusikia sauti kwa mara ya kwanza tangu wazaliwe.

...

Muhimbili yaanzisha kitengo maalum kuhudumia wagonjwa wa kiharusi

Kutokana na kuongezeka kwa tatizo la kiharusi nchini Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imeanzisha kitengo maalumu ili kuwachunguza na kuwapatia tiba stahiki wagonjwa wanaopata tatizo la kiharusi nchini.

Hayo yamesemwa na Daktari Bingwa na Magonjwa ...

Mamia wajitokeza kufanyiwa uchunguzi saratani ya matiti

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa kushirikiana na Chama cha Madaktari Wanawake Tanzania-MEWATA- imefanya zoezi la uchunguzi wa awali wa saratani ya matiti bila malipo kwa lengo la kuongeza uelewa juu ya ugonjwa huo na ...

Muhimbili kujenga kituo maalum cha kupandikiza viungo

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kushirikiana na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ina mpango wa kujenga kituo maalum cha kupandikiza viungo (Transplant centre) katika Hospitali ya Muhimbili-Mloga ...

Wasanii wanawake Tanzania watembelea Hospitali ya Mloganzila

Wasanii wanawake Tanzania leo wametembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili- Mloganzila kwa lengo la kuona mafanikio katika utoaji wa huduma za afya chini ya uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano ya Mh. Rais Dkt. John Pombe Magufuli. ...

Tiba radiolojia yaendelea kuwanufaisha Watanzania

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imefanikiwa kutoa huduma ya kibingwa ya tiba radiolojia (interventional radiology kwa wagonjwa 558 tangu huduma hiyo ianzishwe Novemba 2017.

Tiba hii unahusisha vifaa vya radiolojia kama X-Ray, Fluoroscopy, CT-Scan ...

EMAT yatoa mafunzo ya kuokoa maisha ya wagonjwa mahututi nchini

Chama wataalamu wa Tiba ya Dharura na Ajali Nchini Tanzania (EMAT) kwa kushirikiana na Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia ...