Mloganzila yapewa msaada wenye thamani ya Tsh. Milioni 10

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imepokea msaada kutoka Benki ya NMB wenye thamani ya Tsh. Milioni 10 ambao unalenga kuunga mkono juhudi za serikali za kuboresha huduma za afya nchini.

Mabalozi wa Oman, Kuwait, Saudia Arabia, Palestina, Morocco na Misri watembelea Muhimbili

Mabalozi wa nchi za Saudi Arabia, Misri, Palestina, Kuwait, Morocco na Oman wametembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ambako kunafanyika upasuaji wa kurekebisha viungo (Re-Constructive surgery). Upasuaji huu unafanywa na m ...

Muhimbili yazindua ICU mbili za watoto wachanga, zapunguza vifo


Tanzania ni nchi mojawapo duniani iliyofanikiwa kupunguza idadi ya vifo vya watoto walio chini ya miaka mitano kwa theluthi mbili na imesababisha kufikia mpango namba nne wa malengo ya millennia.

Soma Zaidi

Wabunge kutoka Korea watembelea Mloganzila

Wabunge wa Serikali ya Korea ya Kusini wakiongozwa na mwenyekiti wa kamati ya afya ya Bunge hilo, wametembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila ili kufahamu huduma zinazotolewa hospitalini hapa.

Soma Zaidi

Wataalamu waanza mafunzo kwa vitendo Muhimbili

Leo wataalamu wa kada mbalimbali waanza mafunzo kwa vitendo, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).

...

Miaka minne ya JPM, Muhimbili yatekeleza maagizo yake kikamilifu

Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) imefanikiwa kutekeleza maagizo saba ya Rais John Pombe Magufuli likiwamo la upatikanaji wa dawa kwa asilimia 96 na kutoa huduma za ubobezi ili kupunguza rufaa nje ya nchi, wagonjwa waliokuwa ...

Wataalam fiziotherapia wakutana Mloganzila

Wataalam wa Fiziotherapia wamekutana katika kongamano la kitaifa la taaluma ya tiba kwa vitendo lengo likiwa ni kuangalia maendeleo ya taaluma hiyo nchini.


Akizungumza wakati wa kufungu ...

Wataalam nchini wajengewa uwezo kupunguza vifo kwa watoto

Asilimia 25 ya vifo vya watoto wachanga  vinavyotokea nchini  vinawapata watoto wanaozaliwa kabla ya kutimiza umri wa kuzaliwa na wale wanaozaliwa wakiwa  na uzito chini kilo 1.8 kutokana na upungufu wa wataalamu ...

Watoa huduma za afya waaswa kujiepusha na rushwa

Watoa huduma wa afya wameaswa kuzingatia uadilifu na uaminifu mahala pa kazi kwa kutokuomba wala kupokea rushwa wakati wa kutoa huduma.

Hayo yamezungumzwa na Afisa Mwandamizi kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wakati wa kufun ...

Wataalam Muhimbili waanza mafunzo ya kugundua mapema saratani ya Ini

 Wataalam Muhimbili leo waanza mafunzo kuhusu mfumo wa chakula na ini.

...