Katibu Mkuu Aiagiza Muhimbili Kutoa Huduma za Afya nje ya Nchi

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Mpoki Ulisubisya ameagiza Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kuendelea kutoa huduma za afya kwa njia ya mkoba katika hospitali za rufaa nchini na b ...

Wataalamu Muhimbili Wawasili Musoma Kutoa Huduma za Afya

Wataalamu wa afya kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wamewasili leo Musoma, mkoani Mara kwa ajili ya kutoa huduma mbalimbali kwa wakazi wa mkoa huo kwa njia ya mkoba pamoja na kujenga uwezo kwa wataalamu wa hospitali za r ...

Muhimbili yaandika historia nyingine, yatenganisha watoto walioungana

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imefanya upasuaji mkubwa wa watoto pacha walioungana sehemu ya tumboni na  kufanikiwa kuwatenganisha watoto hao wenye jinsia ya kiume.

Upasuaji huo ambao ulitumia saa tano ulifa ...

Australia Tanzania Society Yafadhili Madaktari Muhimbili

Shirika Lisilo la Kiserikali Australia Tanzania (ATS) limetoa ufadhili kwa madaktari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa ajili ya kuongeza ujuzi wa upasuaji (plastic Surgery) kwa watu wenye tatizo la mdomo sungura pamoja n ...

Muhimbili yapokea msaada wa mashine ya Patholojia

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imepokea msaada wa mashine ya Patholojia kutoka kwa wataalam nchini Marekani ambayo itasaidia kurahisisha utoaji wa majibu ya wagonjwa wa saratani kutoka siku 14 hadi siku 3.

Soma Zaidi

Hospitali ya Taifa Muhimbili yatoa msaada wa Baiskeli kwa mgonjwa aliyetelekezwa

Hospitali ya Taifa Muhimbili leo imekabidhi msaada wa baiskeli ya magurudumu matatu kwa mgonjwa aliyetelekezwa na ndugu zake hospitalini hapo baada ya kukatwa miguu miwili.


Akizungumza ...

Wataalam wa Afya kutoka Marekani watembelea MNH

Wataalam wa Afya kutoka Marekani leo wametembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)  na kufanya mazungumzo na uongozi wa hospitali hiyo lengo likiwa ni kushirikiana katika utoaji wa huduma za afya.

Soma Zaidi

Muhimbili yaanzisha huduma za Tiba Radiolojia (Interventional Radiology) nchini

.  Yaokoa Tshs.3.96 Bil. ndani ya miezi 10

.  Wagonjwa 45 wahudumiwa, wagharimu Tshs.96 Mil badala ya Tshs 4.320 Bil kama    

&nb ...

Wataalam wa afya kutoka Japan watembelea Muhimbili

Wataalam wa afya kutoka nchini Japan leo  wametembelea hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na kufanya mazungumzo na uongozi wa Hospitali hiyo.

Katika mazungumzo yao watalaam hao wamepata ...

Muhimbili yapokea vifaa tiba

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) leo imepokea vifaa tiba 69 ambavyo vimefanyiwa matengenezo na kurejea katika viwango vyake vya matumizi.

Vifaa tiba hivyo (Screen) ambavyo vilikua chakavu&n ...