Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu amewataka Watanzania kuwa na imani na huduma za afya zinazotolewa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila.
Madaktari Bingwa Ubongo, Uti wa Mgongo na Mishipa ya Fahamu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili(MNH) wametoa elimu kwa umma kuhusu ugonjwa wa kifafa katika eneo la Manzese Bakhera katika kuadhimisha siku ya kifafa duniani inayofanyika kila jumatatu ya pili ya m ...
Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imekabidhi msaada wa vyoo matundu kumi vilivyogharimu kiasi cha Tsh. Milioni 15 katika Shule ya Msingi Mloganzila vilivyojengwa kwa lengo la kuunga mkono juhudi zinazofanywa na uongozi wa shule hiyo ya kuboresha mazin ...
Jumuia ya Umoja wa Vijana Chama cha Mapinduzi (UVCCM) tawi la Chuo Kikuu cha Mtakatifu Joseph kilichoko Mbezi wametembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila na kufanya usafi katika maeneo ya nje ya hospitali ikiwa ni sehem ...
Wataalam wa CT-Scan katika Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila wamepatiwa mafunzo ya siku tatu lengo ikiwa ni kuwajengea uwezo wa namna ya kutumia mashine zilizopo katika kutoa huduma za Afya kwa ufanisi.
Program Description: The MNH strategic plan 2017-2022 identifies research and training as one of its key priorities. The purpose of the EMPHASIS Research ...
Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila na Upanga imetwaa vikombe viwili vya ushindi na medali moja katika Mashindano ya Michezo ya Mashirika ya Umma, Taasisi na Kampuni Binafsi za Tanzania (SHIMUTA) iliyofanyika jijini Mwanza m ...
Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila yaendelea kutoa huduma za kibingwa ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Serikali ya awamu ya tano ya maboresho ya Sekta ya Afya.