Majeruhi wa ajali ya moto wapokelewa Muhimbili usiku huu

Majeruhi wa ajali ya moto iliyotokea mkoani Morogoro baada ya lori la mafuta kuanguka, usiku huu  wamepokelewa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa ajili ya kupatiwa matibabu zaidi na wataalam wa MNH.

Waziri Ummy azikaribisha nchi za SADC kutibiwa Muhimbili, MOI na JKCI

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu  amezikaribisha nchi wanachama wa SADC kutumia huduma za ubingwa wa juu zinazopatika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Taasisi ya Tiba ya Mifu ...

Mloganzila kufungua benki ya maziwa ya mama kwa ajili ya watoto wachanga

Hospitali ya Taifa Muhimbili - Mloganzila inatarajia kufungua benki ya maziwa ya mama kwa lengo la kusisitiza umuhimu wa kuwapatia watoto wachanga maziwa ya mama ambayo ni chakula bora na salama.
Hivyo kina mama watakojifungua katika Hospitali ya Muhim ...

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Aipongeza Muhimbili

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa ameipongeza Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kutoa huduma bora za ubingwa wa juu kwa Watanzania.

Mhe. Majaliwa ameya ...

47 wapandikizwa figo Muhimbili, yaokoa Tshs. 3.5 bilioni

Wagonjwa waliopandikizwa figo Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) sasa wamefikia 47, huku MNH ikifanikiwa kiuokoa Tshs. 3.5 bilioni tangu huduma hii ilipoanza kutolewa Novemba 2017.

Upandikizaji figo kwa wagonjwa hao e ...

Upandikizaji vifaa vya usikivu Muhimbili waongezeka kwa asilimia 90

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imepiga hatua kubwa katika kuwajengea uwezo wataalam wake wa kupandikiza vifaa vya usikivu kwa wagonjwa wenye matatizo ya kutosikia ambapo umeongezeka kwa zaidi ya asilimia 80 hadi 90 ikilingan ...

375 wapima Homa ya Ini, 29 waambukizwa

Wataalam wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wameadhimisha siku ya Homa ya Ini duniani kwa kutoa huduma ya upimaji wa afya kwa watu 375, huku 29  kati yao wakiwa wameambukizwa ugonjwa wa Homa ya Ini na 55 wakiwa wamepatiw ...

Muhimbili yapatiwa msaada vifaa tiba na vitanda kutoka Australia Tanzania

MLOGANZILA WAPATIWA MAFUNZO DHIDI YA MAJANGA YA MOTO.

Wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila wamepatiwa mafunzo ya kinga na tahadhari dhidi ya majanga ya moto kwa lengo la kujikinga na majanga ya moto na kuhakikisha Tanzania inakua salama dhidi ya majanga ya moto.
Mafunzo hayo ya siku mbil ...

MNH, Emory University wakutana kuangalia njia za kuboresha matibabu

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imeanza kupitia mbinu za kuboresha mifumo ya hospitali kwa lengo la kutoa huduma bora mbalimbali za afya ikiwamo kupunguza muda mrefu wa wagonjwa wanaotumia kupata huduma za matibabu.