Majeruhi saba ajali ya moto Morogoro wafariki dunia

 

Majeruhi 7 kati ya 32 waliokuwa wakipatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) wamefariki dunia.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Umma Hospitalini ya Taifa Muh ...

Waziri Mhagama aipongeza MNH kwa kuwahudumia majeruhi wa ajali ya moto

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge; Kazi, Ajira, Vijana na Walemavu, Bi. Jenista Mhagama ametembelea Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kwa ajili ya kuwajulia hali majeruhi wa ajali ya moto iliyo ...

NIMR yatoa dawa na vifaa tiba kwa majeruhi ajali ya moto

Majeruhi wa ajali ya moto waliolazwa Muhimbili wapatiwa msaada 

...

Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi atembelea majeruhi Muhimbili

Majeruhi ajali ya moto watembelewa Muhimbili

 

...

Majeruhi sita ajali ya moto Morogoro wafariki dunia

Majeruhi 6 kati ya 38 waliokuwa wakipatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) wamefariki dunia.

Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano kwa umma Hospitalini hapa Bw. Amin ...

Mufti awajulia hali majeruhi wa ajali ya moto Muhimbili

Sheikh Mkuu wa Tanzania, Aboubakar Zubeiry bin Ally afanya ibada fupi ya kuwaombea majeruhi wa ajali ya moto.

 

 

...

Mbunge, wananchi wachangia damu majeruhi wa moto Muhimbili

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Hamisi Ulega pamoja na wananchi wa Jimbo la Mkuranga wamejitokeza katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kuchangia damu kwa majeruhi wa ajali ya moto iliyotokea ...

Muhimbili yashirikiana na Mkemia Mkuu kutambua ndugu wa majeruhi

Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mkemia Mkuu wa Serikali wanaendesha zoezi la kuwapima vinasaba majeruhi ambao hawajitambui wa ajali ya moto iliyotokea Morogoro ili  kubaini ndugu zao hal ...

Chama cha Wafamasia Wamiliki wa Maduka ya Dawa chatoa Msaada kusaidia wahanga wa Moto

Chama cha Wafamasia wamiliki wa Maduka ya Dawa (POPTA) wametoa msaada wa dawa na vifaa tiba kwa ajili wa majeruhi wa ajali ya moto iliyotokea mkoani Morogoro, ambao wamelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Rais Magufuli Aahidi kulipa gharama za matibabu kwa majeruhi wa ajali ya moto

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt John Pombe Magufuli ametembelea majeruhi wa ajali ya moto waliolazwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na kuahidi kulipa gharama zote za matibabu, dawa na chakula kwa majeruhi wote.