MUHIMBILI, DODOMA RRH WAPO JKCC KUTOA HUDUMA KWA WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CCM TAIFA

Wataalamu wa afya wakiwa tayari kutoa huduma kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi jijini Dodoma leo

 

 

...

Wauguzi Muhimbili watakiwa kuendelea kujituma

Wauguzi hospitali ya Taifa Muhimbili wametakiwa kufanya kazi kwa bidii na kwa weledi mkubwa ili kuweza kuifanya Hospitali kuendelea kufikia malengo yake ya kutoa huduma bora za afya kwa watanzania .

Soma Zaidi

MUHIMBILI WAPONGEZWA KWA KUTOA HUDUMA BORA ZA AFYA

Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Anga nchini Meja Jenerali George William Ingram ametembelea banda la Hospitali ya Taifa Muhimbili (Upanga na Mloganzila) katika maonyesho ya 44 ya biashara yanayoendelea katika viwan ...

Taasisi ya Benjamin Mkapa yaajiri watumishi 575 wa kada za afya, 80 wapangiwa Muhimbili

Taasisi ya Benjamin Mkapa Kwa ushirikiano wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto pamoja na wadau wa maendeleo, wakiwemo Shirika la Irish Aid, UKAID-DFID na UNFPA, imeajiri watumishi wa  kada mbalimba ...

WANANCHI 2,360 WATEMBELEA BANDA LA MUHIMBILI-1,220 WAHUDUMIWA, WANAUME 18 WACHUNGUZWA SARATANI YA MATITI

 

Jumla ya wananchi 2,360 wametembelea banda la Hospitali ya Taifa Muhimbili kwenye maonesho ya 44 ya biashara SABASABA tangu Julai Mosi hadi Julai 07, mwaka huu.

Soma Zaidi

MUHIMBILI YAHUDUMIA WANANCHI 385 SABASABA, 30 WAPEWA RUFAA

 

Jumla ya wananchi 385 wamepata huduma za uchunguzi wa macho, saratani ya matiti na huduma za dharura katika banda la Muhimbili  kwenye maonyesho ya 44 ...

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji lafanya usafi Muhimbili

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

...

Kamati ya maadili yazinduliwa Mloganzila

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila yazindua kamati ya maadili ikiwa ni mwitikio wa utaratibu uliowekwa na Serikali unaozitaka idara za Serikali na taasisi za umma kusimamia na kudhibiti uadilifu.

Soma Zaidi

Mwongozo wa matibabu ya ugonjwa wa sikoseli wazinduliwa

Serikali imezindua mwongozo wa Taifa wa matibabu kwa watu wenye ugonjwa wa sikoseli, huku ikiagiza kuanzishwa kwa kliniki maalumu za kuchunguza ugonjwa huo katika ngazi ya wilaya na mikoa ili kuhakikisha watu wengi hasa watoto w ...

Huduma ya kuvunja mawe kwenye figo kwa teknolojia ya kisasa yaanza Mloganzila.

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imeanza kutoa huduma ya matibabu ya kuvunja mawe kwenye figo na mfumo wa mkojo kwa njia ya mawimbi mshituko kwa kitaalam Extracorporeal shock wave lithotripsy (ESWL).

Soma Zaidi