Wataalamu wa himofilia watakiwa kuwafikia wananchi wengi nchini

Wataalamu wa magonjwa ya damu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) pamoja na wadau wengine wametakiwa kufikisha elimu ...

KOFIH yaendelea kusaidia uboreshaji wa huduma za kibingwa Mloganzila.

Wawakilishi kutoka Taasisi ya Korea Foundation for International Healthcare (KOFIH) leo wametembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila na kujadili namna watakavyoweza kuboresha huduma za kibingwa kwa kutoa msaada wa vifaa ...

Mloganzila yaendelea kuboresha huduma ya dharura.

Wauguzi Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila wamejengewa uwezo wa kutoa huduma ya dharuara ili kuokoa maisha ya wagonjwa wanaohitaji huduma ya dharura hususani majeruhi wa ajali.

Mafunzo h ...

Wataalamu 30 wahitimu mafunzo ya saratani ya matiti Mloganzila

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imehitimisha mafunzo ya kuwajengea uwezo wataalamu wa mionzi na dawa jinsi ya kufanya upasuaji wa saratani ya matiti bila kuondoa au kukata titi la mgonjwa.

...

Wataalamu wakutana Mloganzila kujadili mbinu za kupambana na saratani ya matiti

Wataalamu kutoka hospitali mbalimbali nchini wamekutana ili kuboresha huduma za upasuaji kwa wagonjwa wanaogunduliwa kuwa na saratani ya matiti ili kupunguza vifo vinavyotokana na ugonjwa huo.

Soma Zaidi

Watumishi Mloganzila wajitokeza kuchangia damu

Wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila wamejitokeza kuchangia damu ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha jamii kujenga utamaduni wa kujitolea ili kuokoa maisha ya wagonjwa wanaohitaji kuwekewa damu  ikiwemo wakina ...

Zaidi ya watumishi 460 wajitokeza Muhimbili-Upanga kupima magonjwa ya figo

Katika kuadhimisha siku ya figo duniani ambayo hufanyika Machi 11 kila mwaka, watumishi zaidi 460 wa Hospitali ya Taifa Muhimbili- Upanga wa ...

Mganga Mkuu wa Serikali aipongeza Muhimbili, awataka wataalamu kujikita kwenye tafiti

Serikali imepongeza jitihada zinazofanywa na Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kuhusu uanzishwaji wa huduma za kibingwa ikiwamo huduma ya k ...

Flaviana Matata atembelea watoto wachanga Muhimbili

Mwanamtindo Flaviana Matata leo ametembelea wodi ya watoto wachanga na wodi ya watoto wanaohitaji huduma ya Kangaroo (Ka ...

Serikali Kuendelea Kuweka Mazingira Wezeshi kwa Wanawake

Serikali itaendelea kuweka mazingira wezeshi yatakayotoa fursa kwa wanawake kujiendeleza kiuchumi ikiwemo kutoa mikopo yenye riba nafuu pamoja na kutenga asilimia kumi ya mapato ya kila Halmashauri kwa ajili ya mikopo nafuu kwa ...