Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imepokea msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya TZS. 331,383,000 Mil kutoka Korea Foundation for International Healthcare (KOFIH) ambao unalenga kuisaidia hospitali kuendelea kutoa h ...
Chama cha Maofisa Kumbukumbu na Taarifa za Afya Tanzania (THERIA) kimewataka wanataaluma kuweka sawa utoaji wa kumbukumbu ili kuendana na mabadiliko ya kidijitali.
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imewataka waajiriwa wapya na wale wa zamani kuepuka kuomba na kupokea rushwa pamoja na kuacha matumizi ya simu wakati wanatoa huduma kwa wananchi.
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) imetoa mafunzo ya awali kwa waajiriwa wapya 101, huku wakitakiwa kuzingatia kanuni za utumishi wa umma katika sehemu zao ...
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imepokea TZS 5 milioni kutoka Price Water Coopers (PWC) kwa ajili ya kusaidia shughuli za uzalishaji wa mavazi ya kujikinga ...
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bi. Angeline Mabula ameipongeza Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kutoa huduma ya matibabu ya kuvunja mawe kwenye figo na mfumo wa mkojo kwa njia ya maw ...
Wajumbe mbalimbali wamefika katika banda la Hospitali ya Taifa Muhimbili (Upanga na Mloganzila) na Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma kwa ajili ya kupatiwa huduma ya magonjwa ya dharura ...
Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania, Mh. Regine Hess ameipongeza Hospitali ya Taifa Muhimbili (Upanga & Mloganzila) kwa kuanzisha huduma mbalimbali za kibingwa ambazo zimesaidia kupunguza rufaa za wagonjwa kwenda kutibiwa nje ya nchi.