Sita wafanyiwa upasuaji wa kurekebisha viungo Mloganzila

Jumla ya wagonjwa sita wamefanyiwa upasuaji wa kurekebisha viungo na makovu katika kambi maalum ya upasuaji iliyofanyika kwa siku tatu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila.
Upasuaji huo ambao umefanywa na watalaam wa Hospitali ya Mloganzila k ...

Mloganzila yafanya upasuaji wa kurekebisha viungo majeruhi wa moto na ajali

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imeweka kambi maalum ya upasuaji wa kurekebisha viungo na makovu kwa wagonjwa ambao wameathirika na majanga ya moto na ajali za barabarani.
Upasuaji huo unafanywa na watalaam wa Hospi ...

UWEZO WA WATALAAM KUWASHA VIFAA VYA KUSAIDIA KUSIKIA WAFIKIA 100%

Uwezo wa watalaam wazalendo kuwasha vifaa vya kusaidia kusikia (cochlear implants) watoto waliopandikizwa vifaa hivyo ambao walizaliwa wakiwa hawasikii sasa umeongezeka kufikia 100% huku kiwango cha kufanya upasuaji wenyewe kiki ...

Viongozi Muhimbili wapigwa msasa

 

Viongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wametakiwa  kufanya kazi kwa bidii ili kuwa mfano bora wa kuigwa na watendaji wa chini wanaowaongoza .

Wito huo umetolewa leo Jijini Dar es salaam na Mku ...

Majeruhi watatu ajali ya moto Morogoro waruhusiwa


Majeruhi watatu kati ya 11 wa ajali ya moto wanaoendelea kupatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wameruhusiwa kutoka hospitalini leo baada ya afya zao kuanza kuimarika.

Aki ...

MNH yashiriki Maonyesho katika kongamano la biashara

Hospitali ya Taifa Muhimbili(MNH) imeshiriki maonyesho katika Kongamano la Biashara kati ya Tanzania na Uganda, maonyesho hayo yanafanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar Es Salaa ...

Dkt. Abbasi aipongeza Muhimbili kwa kuboresha huduma

Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi ameupongeza Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa maboresho makubwa yaliyofanyika katika utoaji huduma kwa wananchi.

Dkt. Abbasi ameyas ...

Pacha mmoja kati ya waliotenganishwa Saudi Arabia afariki

Pacha mmoja kati ya waliotenganishwa nchini Saudi Arabia Anisia Benard amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili(MNH) alipokuwa akipatiwa matibabu.

Taarifa iliyotolewa leo na Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Upasuaji M ...

Miili ya Marehemu wa ajali ya Kibiti kupimwa DNA

Miili ya marehemu watano wa ajali ya gari iliyotokea Kibiti mkoani Pwani, ambayo ilihusisha lori la kampuni ya Dangote kugongana na gari dogo na kupinduka kisha kuwaka moto imehifadhiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili(MNH ...

Mapacha waliotenganishwa Saudi Arabia wakabidhiwa MNH

Watoto pacha Melness Benard na Anisia Benard waliozaliwa wakiwa wameungana na baadae kufanyiwa upasuaji na kutenganishwa nchini saudi arabia, wamerejea nchini na kukabidhiwa kwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kwa ajili ya uangalizi maalumu wa afya za ...