Muhimbili yatakiwa kuimarisha utafiti na uvumbuzi

Wataalam wa afya nchini wametakiwa kujikita zaidi katika kufanya utafiti na uvumbuzi ili kuleta matokeo chanya katika utoaji wa huduma za afya.
Wito huo umetolewa leo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Hospitali ya Taifa ...

Muhimbili yapokea vifaa tiba vya kutibu saratani ya macho

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imepokea msaada wa mashini za kutoa tiba ya saratani macho kwa watoto bila kuyaondoa zenye thamani ya shilingi milioni 170 kutoka Rotary Club Oyster bay jijini Dar es Salaam.

Msaada ...

Wauguzi wakumbushwa kuzingatia maadili ya kazi

Wauguzi wametakiwa kuendelea kutekeleza majukumu ya kazi kwa kuzingatia kanuni na taratibu za kitaaluma kwa lengo la kutoa huduma bora za afya kwa wagonjwa. 

Wito huo umetolewa leo na Ms ...

Muhimbili yang’ara maadhimisho ya wafanyakazi duniani

Wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wameungana na wenzao duniani kushiriki maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani ambayo hufanyika Mei Mosi kila mwaka.
Wafanyakazi wa MNH walianza maandamano katika hospitali hii kuelekea Uwanja wa Uhu ...

Mariam kuhamishiwa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road

Baada ya Mariam Rajab Juma (25), mkazi wa Singinda kufanyiwa vipimo mbalimbali ili kubaini ugonjwa unaomsumbua, wataalam wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wameshauri ahamishiwe Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI) ...

Serikali yazitaka Muhimbili na Mnazi Mmoja kudumisha ushirikiano.

Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mh. Harusi Suleiman amezitaka Hospitali ya Taifa Muhimbili MNH  na Mnazi Mmoja kudumisha uhusiano na ushirikiano uliopo ili kuwaenzi waasisi wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Naibu Waziri Suleiman ametoa kauli ...

Mnazi Mmoja yaichabanga Muhimbili 40-16 katika mpira wa pete

Timu ya mpira wa pete ya Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar imeibuka mshindi baada ya kuichabanga Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) bao 40-16 kwenye michezo ya Bonanza la Pasaka inayoendelea mjini humo.
Katika mchezo huo uliofanyika  uwanja cha Gy ...

Muhimbili yaicharaza Mwera FC ya Zanzibar Goli 1-0

Timu ya mpira wa miguu ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imeendelea kuonyesha ubabe kwa timu mbalimbali zinazoshiriki michezo ya Pasaka inayofanyika Zanzibar baada ya kuichapa timu ya Mwera Fc goli 1-0 katika Viwanja vya Mbw ...

Muhimbili yafanya usafi Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar

Timu ya Michezo ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) leo imeshiriki kufanya usafi katika maeneo mbalimbali ya Hospitali ya Mnazi  Mmoja Zanzibar kwa lengo la kudumisha uhusiano  na ushirikiano kati ya hospitali hizo.< ...

Mariam afanyiwa uchunguzi kubaini ugonjwa alionao

Wataalam wabobezi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), leo wameanza kufanya vipimo mbalimbali vya uchunguzi kwa Mariam Rajab Juma mwenye kidonda sehemu ya mgongoni ili kubaini chanzo cha ugonjwa alionao.

Akizungumza ...