Kampuni ya vunja bei imekabidhi zawadi kwa Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila pamoja na watumishi kwa lengo la kuwapongeza na kuunga mkono juhudi zinazofanywa na watumishi wa afya katika kwahudumia wagonjwa.
Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imeahidi kuendelea kutoa huduma bora kwa wateja ili kuwa mfano bora na wananchi kuendelea kuwa na imani na huduma zinazotolewa na hospitali hii.
Mkurugenzi Mtendaji wa MNH Prof. Lawrence Museru ametoa ka ...
Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imeshukuru Serikali ya Korea kupitia Taasisi ya Korea Foundation for International Healthcare (KOFIH) ambayo inamchango mkubwa katika kuboresha utoaji wa huduma za afya ikiwemo za ubingwa wa juu.
Hospitali ya Taifa Muhimbili inatambua mchango mkubwa sana unaotolewa na madaktari katika maboresho ya sekta ya afya hususani uanzishwaji wa huduma za kibingwa nchini.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Lawrence ...
Mafunzo ya huduma bora kwa wateja yanayoendeshwa na Hospitali ya Taifa Muhimbili yameendelea katika siku ya tatu , ambapo leo ilikuwa ni zamu ya watumishi wa jengo la maternity ambao ni Madaktari, wauguzi, wahudumu w ...