Mamia wamuaga Dkt. Upendo George Ndaro

Mamia ya waombolezaji wakiwemo madaktari ,wauguzi , wakufunzi wa afya na watumishi wa kada za afya wamejitokeza katika viwanja vya Hospitali ya Taifa Muhimbili  kuaga mwili wa aliyekuwa Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Dharura Hospitali ya Taifa Muhimbili ...

Muhimbili wapatiwa mafunzo ya kukabiliana na majanga ya moto

Wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wamepatiwa mafunzo ya kinga na tahadhari dhidi ya majanga ya moto kwa lengo la kujikinga na majanga ya moto na kuhakikisha hospitali  inakua salama. 

Soma Zaidi

Wataalamu wa afya watakiwa kwenda sambamba na mabadiliko teknolojia

Wataalamu ufundi vifaa tiba wametakiwa kufanya ukaguzi wa mara kwa mara na kuhakikisha kuwa vifaa tiba vinafanya kazi muda wote ili kufikia malengo ya kuokoa maisha ya watoto wachanga na kupunguza gharama za matengenezo.


Mkurugenzi Mtendaji wa ...

Wauguzi na wakunga watakiwa kuibua mbinu bora za utoaji matibabu

Maofisa wauguzi na wakunga wabobezi katika Mkoa wa Dar es Salaam wamekutana katika mkutano wa kisayansi wa kiuuguzi na ukunga na kujadiliana mambo mbalimbali, huku wakishauriwa ku ...

Wataalamu tarajali watakiwa kuzingatia nidhamu Mloganzila

Wataalamu wa afya walioko kwenye mafunzo kwa njia ya vitendo (tarajali) katika Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila wametakiwa kujituma na kufanya kazi kwa nidhamu ili kupata ujuzi utakawawezesha kutoa huduma bora kwa jamii.

Wito huo umetolewa na ...

Kunenge: Tunatambua mchango mkubwa wa wauguzi na wakunga

 

Serikali inatambua mchango mkubwa unaotolewa na wauguzi na wakunga katika kutoa huduma za afya kwa Watanzania.

Soma Zaidi

Muhimbili yazindua mradi wa kusaidia wagonjwa wa Selimundu na Haemophilia

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ikishirikiana na wadau wa afya Novo Nordisk Haemophilia Foundation (NNHF) , Novo Nordisk foundation (NNF) na Kenya Haemophilia association (KH ...

Watoto 150 waliozaliwa kabla ya wakati waonwa katika kambi maalumu

Hospitali ya Taifa Muhimbili Upanga na Mloganzila kwa kushirikiana na Taasisi ya Doris Molel, leo imeweka kambi maalumu ya kuwapima afya watoto waliozaliwa kabla ya wakati  ikiwa ni kuelekea kwa maadhimisho ya siku ya mtoto ...

WATAALAMU TARAJALI 108 WAPATIWA LESENI

Wataalamu tarajali 108 wamepatiwa leseni ya awali baada ya kupokelewa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ili kujengewa uwezo wa kutoa huduma ...

Wafanyakazi wapya 68 waajiriwa Muhimbili

Wafanyakazi wapya 68 wameajiriwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) katika ngazi mbalimbali sambamba na kupatiwa mafunzo ...