Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imepokea msaada wa mashine ya uchunguzi wa macho (Slit Lamp Biomicroscope) yenye thamani ya takribani TZS. 20Mil ambayo itatumika kufanya uchunguzi kwa watu wenye matatizo ya macho.
Watumishi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila wametakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu ili kuendelea kutoa huduma bora na kukidhi matarajio ya wateja.
Akizungumza kwa niaba ya Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospit ...
Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imepokea msaada wa vifaa tiba vinavyogharimu Dola za Marekani 31,524 sawa na TZS. 73,000,000 Mil kutoka Korea Foundation for International Healthcare (KOFIH) kwa lengo la kusaidia hospitali kuendelea kutoa huduma bora ...
Wauguzi Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila wamefanya zoezi la upimaji wa afya bure kwa wananchi na kutoa elimu juu ya magonjwa yasiyoambukiza ikiwa ni sehemu ya kuhitimisha mwaka wa wauguzi duniani 2020.
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imeendesha mafunzo ya siku mbili ambayo yamelenga kuwakumbusha watumishi kuzingatia sheria ya kupambana na rushwa sambamba na maadili katika utumishi wa umma.
Katika mafunzo hayo watumishi walikumbushwa kutoj ...
Serikali imezitaka hospitali za Umma nchini kuwa wabunifu na kuanzisha huduma mbalimbali zitakazosaidia kupunguza gharama za uendeshaji kwa Serikali ...
Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila- imewekea mikakati mbalimbali ya kuhakikisha inaendelea kutoa huduma bora za afya kwa wananchi ikiwemo huduma za kibingwa na kibobezi.
Hayo yamesemwa jijini Dar es salaam na Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtenda ...