Wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila wamejitokeza kuchangia damu ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha jamii kujenga utamaduni wa kujitolea ili kuokoa maisha ya wagonjwa wanaohitaji kuwekewa damu ikiwemo wakina ...
Serikali itaendelea kuweka mazingira wezeshi yatakayotoa fursa kwa wanawake kujiendeleza kiuchumi ikiwemo kutoa mikopo yenye riba nafuu pamoja na kutenga asilimia kumi ya mapato ya kila Halmashauri kwa ajili ya mikopo nafuu kwa ...
Wafanyakazi wanawake wa Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila wamefanya usafi wa mazingira ya nje ya hospitali ikiwa sehemu ya shughuli za kijamii na kujitolea katika kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo huadhimishwa&n ...
Hospitali ya Taifa Muhimbili imefunga mashine nne za kutoa dawa kwa njia ya mvuke (steam inhalation machines) zilizotengenezwa nchini na Shirika la Viwanda Vidogo (SIDO) ili kusaidia wagonjwa kupata tiba ya mfumo wa upumuaji kwa ...
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili –Mloganzila imewapokea wataalamu bingwa 10 kutoka nchini Cuba ikiwa ni mikakati yake ya kuendelea kuboresha utoaji wa huduma za afya hususani huduma za kibingwa.
Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya T ...
Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imezindua kitabu cha muuguzi cha utambuzi wa tatizo kwa mgonjwa (Nursing Diagnoses for Academic and clinical Practice) ambacho kitainua ubora wa huduma za kiuuguzi na ukunga.