Watumishi tarajali Mloganzila watakiwa kuzingatia maadili ya kazi

Wataalamu wa kada mbalimbali walioko kwenye mafunzo kwa njia ya vitendo (tarajali) wametakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za utumishi wa Umma ili kuendelea kuboresha huduma na kupata ujuzi utakao wawezesha kutoa huduma bora kwa ja ...

Mloganzila yapokea msaada wa darubini ya upasuaji

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imepokea msaada wa mashine ya upasuaji wa macho (Operating Microscope) yenye thamani ya takribani TZS. 41 Mil. kutoka Taasisi ya Vision Care inayojihusisha na mapambano dhidi ya matizo ya ...

Watoto wenye ulemavu wapokea msaada wa viti maalumu

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imepokea msaada wa viti maalumu 15 vyenye thamani ya zaidi ya TZS 3 milioni na kuwapatia watoto wenye ulemavu ambao wanatibiwa hapa Muhimbili.

Soma Zaidi

Wataalamu wa afya watakiwa kufanya tathmini ya kazi zao

Wataalamu wa afya wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Upanga na Mloganzila wametakiwa kufanya tathmini ya kazi zao kwa kuandaa miongozo itakayoonesha hatua za kufuata wakati wa kumuhudumia mgonjwa.

Kauli hiyo imetolewa na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Aga ...

Dkt. Godiwin Mollel: Fikisheni elimu ya ugonjwa wa himofilia kwa Watanzania

Serikali imewataka wataalamu wa afya katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kutoa elimu ya magonjwa ya damu nchini ...

Wataalamu wa himofilia watakiwa kuwafikia wananchi wengi nchini

Wataalamu wa magonjwa ya damu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) pamoja na wadau wengine wametakiwa kufikisha elimu ...

KOFIH yaendelea kusaidia uboreshaji wa huduma za kibingwa Mloganzila.

Wawakilishi kutoka Taasisi ya Korea Foundation for International Healthcare (KOFIH) leo wametembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila na kujadili namna watakavyoweza kuboresha huduma za kibingwa kwa kutoa msaada wa vifaa ...

Mloganzila yaendelea kuboresha huduma ya dharura.

Wauguzi Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila wamejengewa uwezo wa kutoa huduma ya dharuara ili kuokoa maisha ya wagonjwa wanaohitaji huduma ya dharura hususani majeruhi wa ajali.

Mafunzo h ...

Wataalamu 30 wahitimu mafunzo ya saratani ya matiti Mloganzila

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imehitimisha mafunzo ya kuwajengea uwezo wataalamu wa mionzi na dawa jinsi ya kufanya upasuaji wa saratani ya matiti bila kuondoa au kukata titi la mgonjwa.

...

Wataalamu wakutana Mloganzila kujadili mbinu za kupambana na saratani ya matiti

Wataalamu kutoka hospitali mbalimbali nchini wamekutana ili kuboresha huduma za upasuaji kwa wagonjwa wanaogunduliwa kuwa na saratani ya matiti ili kupunguza vifo vinavyotokana na ugonjwa huo.

Soma Zaidi