Matumizi ya tumbaku yanaathiri mfumo wa fahamu wa binadamu kwa kuwa kuna kichocheo kiitwacho nikotini ambacho kinafanya mtu ajione kama ana nguvu nyingi, hivyo kupenda kuitumia mara kwa mara.
Hayo yamesemwa na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Afya ya A ...
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imeokoa kiasi cha Tzs. 2.4 bilioni ikiwa ni fedha ambazo zingetumika nje ya nchi kuwapandikiza vifaa vya kusaidia kusikia (cochlear implant) watoto 37 kati ya 41 ambao wamepat ...
Kitengo cha watoto wanaohitaji uangalizi maalumu wenye umri kati ya siku 28 hadi miaka 14 cha Hospitali ya Taifa Muhimbili kimesaidia kupunguza idadi ya vifo vya watoto kutoka asilimia 65 mwaka 2019 hadi asilimia 37.5 na kimehudumia watoto 1141 ...
Wauguzi wa Hospitali ya Muhimbili (Upanga na Mloganzila) wametakiwa kuzingatia kiapo chao kwa kufanya kazi kwa bidii, kujitoa, kuzingatia weledi katika kuwahudumia wagonjwa kwakuwa muuguzi ndio mtu wa kwanza anayekutana na mgonjwa pindi anapofika hospitalin ...
Kuelekea kilele cha siku ya wauguzi Duniani, wauguzi wa hospitali ya Taifa ya Muhimbili (Upanga na Mloganzila) wameshiriki katika kutoa elimu ya afya kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondarii Malamba-mawili, Manispaa ya Ubungo.
Wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (Upanga na Mloganzila) wameungana na wafanyakazi wengine nchini kuadhimisha siku ya wafanyakazi Duniani yaliyofanyika kimkoa katika Uwanja wa Uhuru Dar es salaam, yaliyobeba kauli mbiu ...
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH-Upanga & Mloganzila), Prof. Lawrence Museru, leo amepewa cheti cha mfanyakazi bora kitaifa katika maadhimisho ya sherehe za Mei Mos ...