Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) umesema una imani kubwa na madaktari wa hospitali hiyo pamoja na wataalamu wengine kutokana na utendaji kazi wao wa kila siku.
Hospitali ya Taifa Muhimbili Upanga na Mloganzila imesema mfumo uliobuniwa na wafamasia kutoa dawa kwa wagonjwa umesaidia kupunguza gharama za ununuzi wa dawa katika hospitali hizo sambamba na wananchi wameshauriwa kuzingatia ma ...
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), imeomba jamii kujitokeza mara kwa mara kuchagia damu ili kuokoa maisha ya wagonjwa wa saratani za damu, wagonjwa wanaofanyiwa upasuaji, wanaopata ajali, kina mama wajawazito na watu wengine we ...
Baraza la wafanyakazi Hospitali ya Taifa Muhimbili (Upanga na Mloganzila) limetoa majawabu ya changamoto mbalimbali zinazowakabili watumishi pamoja na kuongeza ari katika utendaji kazi.
Kupatikana kwa majawabu hayo kutasaidia watumishi kufanya ...
Wasimamizi wa majengo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Upanga & Mloganzila wametakiwa kuhakikisha kuwa wanasimamia makabidhiano ya vifaa tiba mara baada ya atakayekuwa zamu kumaliza zamu zao.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya ...
Baadhi ya viongozi na wawakilishi wa TUGHE na kutoka Chama Cha Madaktari nchini wakiwa picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Lawrence Museru ambaye ni Mwenyekiti wa ...
Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Upanga & Mloganzila unakusudia kununua vifaa tiba zaidi kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya wagonjwa wanaofika katika hospitali hizo kupatiwa matibabu ikiwa ni mipango yake ya kuboresha huduma za matibabu kila mwaka. ...