Waziri Ummy Mwalimu aitaka jamii kuheshimu kazi za wauguzi nchini

Makundi mbalimbali katika jamii yametakiwa kuheshimu na kutambua kazi za huduma ya afya zinazofanywa na wauuguzi nchini ili kuondoa tabia ya ...

Wauguzi watakiwa kujituma na kuzingatia weledi katika kazi

Wauguzi wa Hospitali ya Muhimbili (Upanga na Mloganzila) wametakiwa kuzingatia kiapo chao kwa kufanya kazi kwa bidii, kujitoa, kuzingatia weledi katika kuwahudumia wagonjwa kwakuwa muuguzi ndio mtu wa kwanza anayekutana na mgonjwa pindi anapofika hospitalin ...

Wanafunzi Malamba-mawili wanufaika na elimu ya afya.

Kuelekea kilele cha siku ya wauguzi Duniani, wauguzi wa hospitali ya Taifa ya Muhimbili (Upanga na Mloganzila) wameshiriki katika kutoa elimu ya afya kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondarii Malamba-mawili, Manispaa ya Ubungo.

Elimu hiyo imetolewa kwa w ...

Muhimbili washiriki sherehe za Mei Mosi

Wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (Upanga na Mloganzila) wameungana na wafanyakazi wengine nchini kuadhimisha siku ya wafanyakazi Duniani yaliyofanyika kimkoa katika Uwanja wa Uhuru Dar es salaam, yaliyobeba kauli mbiu ...

Prof. Museru mfanyakazi bora kitaifa

 

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH-Upanga & Mloganzila), Prof. Lawrence Museru, leo amepewa cheti cha mfanyakazi bora kitaifa katika maadhimisho ya sherehe za Mei Mos ...

Watumishi tarajali Mloganzila watakiwa kuzingatia maadili ya kazi

Wataalamu wa kada mbalimbali walioko kwenye mafunzo kwa njia ya vitendo (tarajali) wametakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za utumishi wa Umma ili kuendelea kuboresha huduma na kupata ujuzi utakao wawezesha kutoa huduma bora kwa ja ...

Mloganzila yapokea msaada wa darubini ya upasuaji

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imepokea msaada wa mashine ya upasuaji wa macho (Operating Microscope) yenye thamani ya takribani TZS. 41 Mil. kutoka Taasisi ya Vision Care inayojihusisha na mapambano dhidi ya matizo ya ...

Watoto wenye ulemavu wapokea msaada wa viti maalumu

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imepokea msaada wa viti maalumu 15 vyenye thamani ya zaidi ya TZS 3 milioni na kuwapatia watoto wenye ulemavu ambao wanatibiwa hapa Muhimbili.

Soma Zaidi

Wataalamu wa afya watakiwa kufanya tathmini ya kazi zao

Wataalamu wa afya wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Upanga na Mloganzila wametakiwa kufanya tathmini ya kazi zao kwa kuandaa miongozo itakayoonesha hatua za kufuata wakati wa kumuhudumia mgonjwa.

Kauli hiyo imetolewa na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Aga ...

Dkt. Godiwin Mollel: Fikisheni elimu ya ugonjwa wa himofilia kwa Watanzania

Serikali imewataka wataalamu wa afya katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kutoa elimu ya magonjwa ya damu nchini ...