Waataalamu wa afya watakiwa kufanya mazoezi kuimarisha afya zao.

Watoa huduma za afya wameshauri kufanya mazoezi mara kwa mara ili kuepuka magonjwa yasiyoambukiza husuasani shinikizo la juu la damu ambayo kwa kiasi kikubwa yanasababishwa na mtindo wa maisha.

Ushauri huo umetolewa na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa H ...

Watumiaji wa vifaa tiba wajengewa uwezo kutumia mfumo wa Tehama

Watumiaji wa vifaa tiba wa Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila wametakiwa kuharakisha kuingiza taarifa za vifaa tiba katika mfumo wa Tehama wa kufuatilia matengezezo, kuhifadhi na kutoa taarifa za vifaa tiba unaosimamiwa na Wizara ya Afya, Maendeleo ya ...

Watumishi Muhimbili watakiwa kuendelea kujituma

Madaktari, wauguzi na wataalamu mbalimbali wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (Upanga&Mloganzila) wametakiwa kuendelea kufanya kazi kwa weledi na kujituma zaidi ili kuendelea kuboresha huduma kwa wateja wanaokuja hospitalini hapo.

Rai hiyo imetolew ...