Mwendokasi yaanza huduma Mloganzila.

Wakala wa Mabasi yaendayo haraka (DART) umeanza kutoa huduma ya usafiri kwa wananchi na wafanyakazi wanaofika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili –Mloganzila.

Huduma hiyo iliyoanza kuto ...

MLOGANZILA WAPATIWA MAFUNZO DHIDI YA MAJANGA YA MOTO.

Wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila wamepatiwa mafunzo ya kinga na tahadhari dhidi ya majanga ya moto kwa lengo la kujikinga na majanga ya moto na kuhakikisha Tanzania inakua salama dhidi ya majanga ya moto.
Mafunzo hayo ya siku mbil ...