Tiba ya saratani ya damu yaanza kutolewa Muhimbili

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imeanza kutoa tiba ya awali ya saratani ya damu kwa wagonjwa wenye tatizo hilo.

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Huduma za Tiba wa Muhimbili, Dkt. Hedwiga Swai wakati akizungumza na maafisa mawasiliano kutoka Wizara ...

Wafanyakazi Muhimbili watakiwa kutekeleza mipango ya maendeleo kwa wakati

Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Lawrence Museru amewataka wataalamu wa MNH kutekeleza kwa wakati mipango mbalimbali ya maendeleo waliokubaliana katika kikao cha Baraza la Wafanyakazi ili kuboresha zaidi h ...

Waziri Ummy Mwalimu aiomba NMB kuendelea kuchangia huduma za afya

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu ameziomba sekta binafsi ikiwamo benki ya NMB kuelendelea kushirikiana na Serikali katika kuboresha huduma za afya nchini.

Soma Zaidi

Watumishi wapya Muhimbili wapewa mafunzo elekezi

Watumishi wapya 71 walioajiriwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Novemba mwaka huu wamepatiwa mafunzo elekezi.

Watumishi waliopatiwa mafunzo elekezi ni wa kada za madaktari bingwa, madaktar ...

Mabalozi wa Oman, Kuwait, Saudia Arabia, Palestina, Morocco na Misri watembelea Muhimbili

Mabalozi wa nchi za Saudi Arabia, Misri, Palestina, Kuwait, Morocco na Oman wametembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ambako kunafanyika upasuaji wa kurekebisha viungo (Re-Constructive surgery). Upasuaji huu unafanywa na m ...

Wataalam nchini wajengewa uwezo kupunguza vifo kwa watoto

Asilimia 25 ya vifo vya watoto wachanga  vinavyotokea nchini  vinawapata watoto wanaozaliwa kabla ya kutimiza umri wa kuzaliwa na wale wanaozaliwa wakiwa  na uzito chini kilo 1.8 kutokana na upungufu wa wataalamu ...

WATALAAM TARAJALI WAFUNDWA MUHIMBILI

Watalaam wa afya walioko kwenye mafunzo kwa njia ya vitendo (Tarajali), wametakiwa kutumia muda wao wa mwaka mmoja kujifunza na kupata ujuzi ili wanapomaliza waweze kujitegemea na kutoa huduma bora kwa wananchi.

Hayo yam ...

Wasanii wanawake Tanzania watembelea Hospitali ya Mloganzila

Wasanii wanawake Tanzania leo wametembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili- Mloganzila kwa lengo la kuona mafanikio katika utoaji wa huduma za afya chini ya uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano ya Mh. Rais Dkt. John Pombe Magufuli. ...

Hospitali kuwajengea vyoo shule ya msingi Mloganzila

Hospitali ya Taifa Muhimbili –Mloganzila imedhamiria kujenga vyoo matundu matano katika Shule ya Msingi Mloganzila ikiwa ni kuunga mkono juhudi zinazofanywa na uongozi wa shule hiyo ya kuboresha mazingira ya shule ili wana ...

DKT. ABBASI AWAPIGA MSASA MAAFISA MAWASILIANO MUHIMBILI, JKCI, MOI NA MUHAS

Maafisa Mawasiliano wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI), Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi ya Tiba Muhimbili (MUHAS), wametakiwa kutangaza maboresho ...