Mechi ya Kirafiki Muhimbili na TBS yafana, Timu zagawana Ushindi

Timu  ya soka ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH FC) imeibuka kidedea baada ya kuitandika mabao 3-1 timu ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS FC) katika mchezo wa kirafiki uliofanyika  katika viwanja vya  Chuo Ki ...

Muhimbili-Upanga yanyakua makombe 2, Mloganzila yajipatia 1


Timu ya soka ya Hospitali Taifa Muhimbili –Mloganzila imeinyuka Timu ya soka ya Muhimbili-Upanga mabao 3-1 wakati timu ya mpira wa wavu ya Muhimbili-Upanga imeichabanga Muhimbili-Mloganzila mabao 16- 11 katika Bonanz ...

Mnazi Mmoja yaichabanga Muhimbili 40-16 katika mpira wa pete

Timu ya mpira wa pete ya Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar imeibuka mshindi baada ya kuichabanga Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) bao 40-16 kwenye michezo ya Bonanza la Pasaka inayoendelea mjini humo.
Katika mchezo huo uliofanyika  uwanja cha Gy ...

Muhimbili yaicharaza Mwera FC ya Zanzibar Goli 1-0

Timu ya mpira wa miguu ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imeendelea kuonyesha ubabe kwa timu mbalimbali zinazoshiriki michezo ya Pasaka inayofanyika Zanzibar baada ya kuichapa timu ya Mwera Fc goli 1-0 katika Viwanja vya Mbw ...

Waziri Hamad Rashid Awataka Viongozi Kudumisha Michezo

Waziri wa Afya Zanzibar, Hamad Rashid Mohamed leo amefungua tamasha la michezo ya Pasaka inayohusisha timu za michezo kutoka Wizara ya afya Zanzibar , Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) , Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI ...

Serikali Kuboresha Michezo Taasisi Afya

Serikali imesema itaendelea kuboresha michezo sehemu za kazi ili kuifanya iwe endelevu na kuwawezesha watumishi wengi kushiriki.

Kauli hiyo imetolewa na Naibu Mkurugenzi Mkuu-Kitengo cha Utaf ...